Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Huyu ni wa kutandika bakora hadi ajisaidie

Halafu Ayo naye kauza integrity yake kirahisi Kwa kutafuta kiki za kiboya

Huwezi kukuta huo upuuzi Kwa wenzetu waislamu
 
Au unamwonea wivu anavyopata attention ?Maana baada ya kutoka jela umaarufu wake ndo umeongezeka,yeye anafurahia tu huko aliko. Pesa inazidi kuongezeka.Watu ni mtaji ujue.
Aya ameshinda ila kuna lile neno, Hosea 4:6 watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa.
 
Huyu ni wa kutandika bakora hadi ajisaidie

Halafu Ayo naye kauza integrity yake kirahisi Kwa kutafuta kiki za kiboya

Huwezi kukuta huo upuuzi Kwa wenzetu waislamu
Ayo yeye anachoangalia ni viwers. Habari ni habari.Tena hivi vitu vya hovyo ndo vinaleta hamu ya watu kuangalia.So hapo YouTube watu wataangalia dunia nzima hasa wanaojua kiswahili.
 
Hats hao wanaomfanyia interview ni watu wa mizaha zaidi, sio mambo serious
 
Mara hutaki ligi, mara unaenda na kurudi kubishana[emoji1787]
Dah umejua kunichekesha sana we mzee,

Ushanijudge naishi vipi na watu wakati hunijui, ushani judge na sexuality yangu,[emoji3]
Baada ya kukushangaa kumjudge Zumaridi ambaye hujamuona wala kuishi nae ukaja kuandika eti umeishi Mwanza na kufanya kazi ya utabibu kwa miaka kadhaa kwa hiyo ulikua unamuona, yaan ulimuona akipita njia au ulimuona akija hospital na ukamtibia??

Kiufupi wewe ni judgemental pia kwa mujibu wa majibu yako una ile kitu inaitwa Narcissistic Personality Disorder,

Normal professional daktari hawezi kubehave the way you behave here, HAKUNA, HAKUNA, HAKUNA
 

Ukaona uandike kiingereza labda itakupa sapoti kuaminisha watu kua wewe ni tabibu kweli [emoji1],
Wewe ni Tabibu ila uliyeshindwa kufata miiko ya kitabibu labda sababu ya hiyo Narcissistic Personality Disorder,

Zumaridi anakutesa namna hii au unateseka kuona mtu amekukosoa kwa kile unacholazimisha watu wakiamini?

Zumaridi kwann usingemuweka kwenye kundi la waongo au tapeli au usanii kuliko kulazimisha ni mgonjwa wa akili?

Kama awali nilivyosema, you have issues and you need to fix it, pia acha kuchezea taaluma adhimu ya utabibu, utabibu una miiko yake kajikumbushe tena.
 
Ayo yeye anachoangalia ni viwers. Habari ni habari.Tena hivi vitu vya hovyo ndo vinaleta hamu ya watu kuangalia.So hapo YouTube watu wataangalia dunia nzima hasa wanaojua kiswahili.
Lazima awe na values zake, sio kila chenye viewers akiokote tu

Heshima ni zaidi ya sifa

Binafsi wmenikwaza sana Ayo kuliko hata huyo mental case
 
Lazima awe na values zake, sio kila chenye viewers akiokote tu

Heshima ni zaidi ya sifa

Binafsi wmenikwaza sana Ayo kuliko hata huyo mental case
Wewe kweli si mtafutaji.Yeye anachoangalia ni pesa. Na habari za hivi ndo zina watazamaji wengi.More viwers=more money.
 
Dada ana shida ya akili au Ndio biashara kuwateka waumini wake maana kuna watz uelewa ni sifuri
So ndio yupo kwenu huko, hujawahi kuhudhuria ibada zake ukacheke?🤣
 
Huyu atakavyoanza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa

Tuombeane uzima
Dr tunampimaje kwamba ni mgonjwa ? Au kwavile amesema ameenda mbinguni na hizo illusion zake zingine? Je kina Jesus na Muhamad nao walikua wagonjwa wa akili? Maana nao walikua na mambo kama hayo ya zumaridi.

Wale wanaokanyagisha watu mafuta ya upako je sio dalili kama za Zumaridi?

Ama ugonjwa wa akili unaendana na ni kitu gani tunachoamua kukubali
 
Wewe kweli si mtafutaji.Yeye anachoangalia ni pesa. Na habari za hivi ndo zina watazamaji wengi.More viwers=more money.
Mtafutaji asiye na moral values ni sawa na malaya muuza

Hachagui mjenenge

Ayo ni mkristu na hatakiwi kucompromise values zake Kwa sababu ya viewers
 
Tushasema kama haumuelewi Mfalume zumaridi ujue wewe ni mfuasi wa shetani😅
Hakika wewe ni mfuasi wake mtiifu. Kwahiyo Mungu ana ofisi mbinguni? Na kweli Petro alikataliwa na mfalme wako Zumarid ombi lake la kumuoa?😄🤣
 
Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Kama hajaja nyumbani kwako achana naye wala usimfuatilie atakupasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…