OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukristo unachezewa sana, waislam ukiwafanyia dhihaka hawakuachi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni wa kutandika bakora hadi ajisaidieNimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.
Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.
Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.
Mwenye muda akatazame kwa Millard.
View attachment 2549515
Aya ameshinda ila kuna lile neno, Hosea 4:6 watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa.Au unamwonea wivu anavyopata attention ?Maana baada ya kutoka jela umaarufu wake ndo umeongezeka,yeye anafurahia tu huko aliko. Pesa inazidi kuongezeka.Watu ni mtaji ujue.
Ayo yeye anachoangalia ni viwers. Habari ni habari.Tena hivi vitu vya hovyo ndo vinaleta hamu ya watu kuangalia.So hapo YouTube watu wataangalia dunia nzima hasa wanaojua kiswahili.Huyu ni wa kutandika bakora hadi ajisaidie
Halafu Ayo naye kauza integrity yake kirahisi Kwa kutafuta kiki za kiboya
Huwezi kukuta huo upuuzi Kwa wenzetu waislamu
Ana akili zake vizuri tu,mwenzako yupo kazini.
Mara hutaki ligi, mara unaenda na kurudi kubishana[emoji1787]You could have a centric way of viewing things leo tungeelimishana na kufahamishana mambo mengi Sana but you have a eccentric ways of viewing things and I can't judge you by that I have delt with gender dysmorphic patient also a lot so I can't judge you and I am sorry I had to go back to your post concerning your lesbianism I understand you a lot
Answering your questions without deferring the main message
If they genuinely believe they are interacting with an unknown entity that cannot be observed, measured, has no demonstrable and observable evidence to prove it exists, and does not appeal to any of the senses, then they may suffer irrational beliefs that do not coincide with actuality, it would be very unwise to consider them clinically psychotic. Delusional yes, but psychotic no.
If they start believing that the entity is giving them orders and demands, communicating with them, influencing events in their life and in the real world(such as believing that a deity told them to set fire to the library because they cannot afford to have that bible “besmirched by science” or to be in a specific place because a sequence of events will happen), and they aren't saying that to exonerate themselves from their actions but actually believe such rubbish that's totally out of tune with reality, maybe then it's time to see a psychiatrist.
Psychosis is a clinical disorder most commonly characterized by delusional thinking, hallucinations, depression, and numerous other symptoms. But not everyone who is irrational is psychotic.
Some irrationality maybe way of making money kama unavyosema
Some irrationality maybe simply a confabulation or pathological lying
The question of faith and deity is one of the complex psychological entity to deal with
Lazima awe na values zake, sio kila chenye viewers akiokote tuAyo yeye anachoangalia ni viwers. Habari ni habari.Tena hivi vitu vya hovyo ndo vinaleta hamu ya watu kuangalia.So hapo YouTube watu wataangalia dunia nzima hasa wanaojua kiswahili.
Wewe kweli si mtafutaji.Yeye anachoangalia ni pesa. Na habari za hivi ndo zina watazamaji wengi.More viwers=more money.Lazima awe na values zake, sio kila chenye viewers akiokote tu
Heshima ni zaidi ya sifa
Binafsi wmenikwaza sana Ayo kuliko hata huyo mental case
Si unaona kina Diamond hadi wanatoa video wamekaa kwenye makaburi ya watu.Ule wimbo wa Zuwena. Pesa inatafutwa.Basi hayupo peke yakewa kujitoa akili ili apoge mahela, kuna wengine kwenye muziki, wengine maigizo ndo Tanzania inavyoenda.
🤣🤣mfalme wa mchongo hana baya na mtu mwacheni avunje pesa za maboya wake.
Mjini kila mtu ana maboya wake kadhaa wa kuwapiga.
Aisee..Walimuonea bure mfalme wetu amekuja na nguvu zote mitume na manabii wajipange.
SawasawaHuyu dada hana shida yoyote ya akili nakwambia, wenye shida ya akili ni waumini wake
So ndio yupo kwenu huko, hujawahi kuhudhuria ibada zake ukacheke?🤣Dada ana shida ya akili au Ndio biashara kuwateka waumini wake maana kuna watz uelewa ni sifuri
Dr tunampimaje kwamba ni mgonjwa ? Au kwavile amesema ameenda mbinguni na hizo illusion zake zingine? Je kina Jesus na Muhamad nao walikua wagonjwa wa akili? Maana nao walikua na mambo kama hayo ya zumaridi.Huyu atakavyoanza kuonyesha negative symptoms tutakuepo hapa
Tuombeane uzima
Mtafutaji asiye na moral values ni sawa na malaya muuzaWewe kweli si mtafutaji.Yeye anachoangalia ni pesa. Na habari za hivi ndo zina watazamaji wengi.More viwers=more money.
Hakika wewe ni mfuasi wake mtiifu. Kwahiyo Mungu ana ofisi mbinguni? Na kweli Petro alikataliwa na mfalme wako Zumarid ombi lake la kumuoa?😄🤣Tushasema kama haumuelewi Mfalume zumaridi ujue wewe ni mfuasi wa shetani😅
Kama hajaja nyumbani kwako achana naye wala usimfuatilie atakupasua kichwaNimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?