Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Hapana apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah na Mohammad ni mtume wake
 
Hakika wewe ni mfuasi wake mtiifu. Kwahiyo Mungu ana ofisi mbinguni? Na kweli Petro alikataliwa na mfalme wako Zumarid ombi lake la kumuoa?😄🤣
Nawaza kama angekubali kuolewa na Petro
Je petro angekua malkia au
 
Hapa naona kunashida ya afya ya
 
Millard Ayo hana kosa bila yeye kufanya interview mngejuaje zumaridi dishi limeyumba.
 
NI VIZURI IELEWEKE,ZUMARIDI HANA TATIZO.
TATIZO NI WALE WAFUASI WAKE. HAO NDIO WAKUWAONEA HURUMA,KUWASIKITIKIA.
UWEPO WA WAKINA ZUMARIDI NI ISHARA TOSHA, TAIFA HATA BAADA YA MIAKA 62 YA UHURU LINA WAJINGA WENGI .
 
Huo ugonjwa wa akili unaonituma niwapige pesa wajinga naomba unipate ata mimi aise[emoji4][emoji4]
 
Ila Milard ana moto wake special, alivyokuwa serious sasa!!🤣🤣🤣🤣
 
Uhuru ukizidi sana hata wagonjwa wa akili hupewa fursa ya kusikilizwa, kwa kigezo cha haki za binadamu.

Serikali yetu haina dini, ila inaruhusu viongozi wa kidini waliojichagua wenyewe kuathiri fikra, imani na mitazamo ya watu wengine kwenye jamii bila udhibiti.

Matokeo ya kadhia hii ni watu kujipachika vyeo vya kidini na kujitangazia uteule na usafi mbele za Mungu.
 
Haya
 
Ok
 
The first person to question Jesus sanity was psychologist Charles Binet-Sangle he suggested that Jesus was suffering from religious paranoia

Swali lako ni ngumu sana sababu linagusa Imani yangu pia na hata mama nlivyosoma hio research ya binet nliachwa na taharuki

Lakini kwa sababu Lengo langu si kuzua taharuki nahisi tuishie hapa
 
Lakini nitajaribu kujibu swali
(huenda jibu langu likawa sio sahihi utaushirikisha ubongo wako pia katika hili) kwanza in normal circumstance mtu akija hospitali akisema nmeongea na mungu hio tunachukulia kawaida, but mtu akisema Mungu ameongea na mimi tunaanza kuweka warning signs note those two words Mungu ameongea na mimi vs nmeongea na mungu

Kwasababu psychological studies zinaitambua religion ( religion ni either protecting factor au precipitating factor kwenye magonjwa mengi ya akili ) kwa sababu tunaitambua dini tutajiuliza au tutamuuliza mungu ameongea nini na wewe majibu atakayotupa yatatuthibitishia of this is a matter of faith or a matter of psychological problem Mfano mtu akisema mungu amesema nichome nyumba yangu Kuna mapepo na Mfano mtu akasema nmeoneshwa na Mungu niombee Familia yangu Kuna vitu vibaya vinaweza ikuta na huyo mtu anafunga kuomba na kufunga kwake hakuharibu maisha ya kawaida ya wengine au ya kwake (huyu ni normal na yule wa kwanza ni abnormal)

So coming to answer your question maneno ya yesu yaliendana na matendo yake he healed people, he transformed people's lives his grandiose words were seen plainly in normal life he was justifying his egoistic words ( Mwamba ) Yesu in short aliyoyasema yaliendana na aliyokua anayafanya that's why he has followers who believes in him
Mfano baada ya kufa siku ya Tatu Mwamba amefufuka hayupo kabisa

Coming to Zumaridi questions she may be saying the truth for us believers tunaamini Kuna watu wanapatwa na hayo mafunuo but coming to look on her presentations Sasa kwenye surface it's completely abnormal
Whatever else you think of Jesus, he was a spiritual dynamo with incredible wisdom and heart. He could transform people’s lives with a look or a touch, vipi kuhusu the priestess Zumaridi we are talking here about?

I hope I have answered you well
Have a good and productive day out there
 
NI VIZURI IELEWEKE,ZUMARIDI HANA TATIZO. RATIZO JI WALE WAFUASI WAKE. HAO NDIO WAKUWAONEA HURUMA,KUWASIKITIKIA. UWEPO WA WAKINAZUMARIDI NI ISHARA TOSHA, TAIFA LINA WAJINGA WENGI HATA BAADA YA MIAKA 62 YA UHURU.
People needs something to hold on and that's the problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…