Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Hapana apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah na Mohammad ni mtume wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaza kama angekubali kuolewa na PetroHakika wewe ni mfuasi wake mtiifu. Kwahiyo Mungu ana ofisi mbinguni? Na kweli Petro alikataliwa na mfalme wako Zumarid ombi lake la kumuoa?😄🤣
Hahaha hapo sasa, maana yeye mwanamke anajiita mfalme🤣🤣🤣🙌Nawaza kama angekubali kuolewa na Petro
Je petro angekua malkia au
Hapa naona kunashida ya afya yaNimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza kuangalia jua tena lililotokea Usiku.
Anasema yeye ameshaenda Mbinguni mara nyingi sana na mbinguni kuna nyumba za ghorofa na alipoenda motoni alikuta watu wanamlilia awaokoe wengine wanaongea kisukuma.
Zaidi anasema ameshakutana na Ibrahimu ambaye alimtambulisha kwa Eliya na Yakobo, na eti aliingia kwenye ofisi ya Mungu. Ningehoji Wasukuma mnatukuliaje sisi lakini nitaonekana mkabila, naacha tu.
Mwenye muda akatazame kwa Millard.
View attachment 2549515
Huo ugonjwa wa akili unaonituma niwapige pesa wajinga naomba unipate ata mimi aise[emoji4][emoji4]Mara hutaki ligi, mara unaenda na kurudi kubishana[emoji1787]
Dah umejua kunichekesha sana we mzee,
Ushanijudge naishi vipi na watu wakati hunijui, ushani judge na sexuality yangu,[emoji3]
Baada ya kukushangaa kumjudge Zumaridi ambaye hujamuona wala kuishi nae ukaja kuandika eti umeishi Mwanza na kufanya kazi ya utabibu kwa miaka kadhaa kwa hiyo ulikua unamuona, yaan ulimuona akipita njia au ulimuona akija hospital na ukamtibia??
Kiufupi wewe ni judgemental pia kwa mujibu wa majibu yako una ile kitu inaitwa Narcissistic Personality Disorder,
Normal professional daktari hawezi kubehave the way you behave here, HAKUNA, HAKUNA, HAKUNA
Una matatizo makubwa sanaIla Muhamad alipotoka pangoni nae alisema hivi hivi kakabwa na jibril atamke Allah aukabur.
Yakobo na yeye alimpiga mweleka Mungu akapewa jina Israel
Umeona eeh[emoji1787]Huo ugonjwa wa akili unaonituma niwapige pesa wajinga naomba unipate ata mimi aise[emoji4][emoji4]
Sijawah yupo mbali hukoo kijijinSo ndio yupo kwenu huko, hujawahi kuhudhuria ibada zake ukacheke?🤣
He kumbe anawaongopea wanakijiji? Angekuwa mjini hakika angesali peke yake🤣🤣Sijawah yupo mbali hukoo kijijin
HayaMara hutaki ligi, mara unaenda na kurudi kubishana[emoji1787]
Dah umejua kunichekesha sana we mzee,
Ushanijudge naishi vipi na watu wakati hunijui, ushani judge na sexuality yangu,[emoji3]
Baada ya kukushangaa kumjudge Zumaridi ambaye hujamuona wala kuishi nae ukaja kuandika eti umeishi Mwanza na kufanya kazi ya utabibu kwa miaka kadhaa kwa hiyo ulikua unamuona, yaan ulimuona akipita njia au ulimuona akija hospital na ukamtibia??
Kiufupi wewe ni judgemental pia kwa mujibu wa majibu yako una ile kitu inaitwa Narcissistic Personality Disorder,
Normal professional daktari hawezi kubehave the way you behave here, HAKUNA, HAKUNA, HAKUNA
OkUkaona uandike kiingereza labda itakupa sapoti kuaminisha watu kua wewe ni tabibu kweli [emoji1],
Wewe ni Tabibu ila uliyeshindwa kufata miiko ya kitabibu labda sababu ya hiyo Narcissistic Personality Disorder,
Zumaridi anakutesa namna hii au unateseka kuona mtu amekukosoa kwa kile unacholazimisha watu wakiamini?
Zumaridi kwann usingemuweka kwenye kundi la waongo au tapeli au usanii kuliko kulazimisha ni mgonjwa wa akili?
Kama awali nilivyosema, you have issues and you need to fix it, pia acha kuchezea taaluma adhimu ya utabibu, utabibu una miiko yake kajikumbushe tena.
The first person to question Jesus sanity was psychologist Charles Binet-Sangle he suggested that Jesus was suffering from religious paranoiaDr tunampimaje kwamba ni mgonjwa ? Au kwavile amesema ameenda mbinguni na hizo illusion zake zingine? Je kina Jesus na Muhamad nao walikua wagonjwa wa akili? Maana nao walikua na mambo kama hayo ya zumaridi.
Wale wanaokanyagisha watu mafuta ya upako je sio dalili kama za Zumaridi?
Ama ugonjwa wa akili unaendana na ni kitu gani tunachoamua kukubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Millard Ayo hana kosa bila yeye kufanya interview mngejuaje zumaridi dishi limeyumba.
Lakini nitajaribu kujibu swaliDr tunampimaje kwamba ni mgonjwa ? Au kwavile amesema ameenda mbinguni na hizo illusion zake zingine? Je kina Jesus na Muhamad nao walikua wagonjwa wa akili? Maana nao walikua na mambo kama hayo ya zumaridi.
Wale wanaokanyagisha watu mafuta ya upako je sio dalili kama za Zumaridi?
Ama ugonjwa wa akili unaendana na ni kitu gani tunachoamua kukubali
People needs something to hold on and that's the problemNI VIZURI IELEWEKE,ZUMARIDI HANA TATIZO. RATIZO JI WALE WAFUASI WAKE. HAO NDIO WAKUWAONEA HURUMA,KUWASIKITIKIA. UWEPO WA WAKINAZUMARIDI NI ISHARA TOSHA, TAIFA LINA WAJINGA WENGI HATA BAADA YA MIAKA 62 YA UHURU.