Duuh hivi kun faida gani unaingiza mifedha halafu mfereji hauna kifuniko? bora kuwa maskini lakini mguu unapiga kazi barabara....mwenzio anadvatise mavazi wewe ushawaza mambo mengine mwenzio anaingiza mifedha...hakuna kingine zaidi ya kutangaza mavazi ya wadada wa mjini
Wacha weee LooohMbona huyo ni mke wa mtu
Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu?Nchi za wenzetu watu wengi wa fashion, modelling, saloon wengi ni mashoga na siyo jambo la ajabu. Tutachukua muda kukubali hii hali ila yawezekana wachangiaji wengine wana vinasaba hivyo ila hawakubali ukweli otherwise tusingekuwa na neno Tigo.
;
God forbid... But wanaume wengi walio kwenye hii industry kama sio kabisa basi wana viashiria
Rinda liko rehaniKudadek huyo tayari
Sasa mpaka hapo unadhani kuna nini tena