Ahsante kwa kunisapoti [emoji120]Mimi ni shabiki kindakindaki wa Arsenal na namkubali saaana Wenger, nyie hamjui tu Ila ipo siku mtaijua kazi yake
Wenger inMimi ni shabiki kindakindaki wa Arsenal na namkubali saaana Wenger, nyie hamjui tu Ila ipo siku mtaijua kazi yake
mkuu nami nipo mbioni kuhama japo kwa mkopo tu, nitarudi wenger akisepanshauhama huo ugonjwa wa moyo kitambo
vipi kwani kumetokea nini ??au mmechana mikeka ya watu??mkuu nami nipo mbioni kuhama japo kwa mkopo tu, nitarudi wenger akisepa
Wanabodi..Mpaka sasa Aseno ameshakula 5....ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita...anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini uhakika unajua kabisa wanafungwa ngapi...kwanini asiache hii timu?? Anajisikiaje kungangania kitu hakiwezi??
daah inauma sana. huyu mzee bora akapumzike tuKocha hatuna.wenger hana kipaji cha kuwahamasisga wachezaji. Unajua mpira sio kufundisha tu.Unaweza kuwa mfundishaji mzuri.lakini usiwe na kipaji cha kuwapa moyo wachezaji.Wenger hana hicho kipaji.