Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

Somoche

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
6,795
Reaction score
9,143
Wanabodi.

Mpaka sasa Arsenal ameshakula 5, ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita. Anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini uhakika unajua kabisa wanafungwa ngapi.

Kwanini asiache hii timu? Anajisikiaje kung'ang'ania kitu hakiwezi?
 
Barcelona amepigwa akakubali matokeo sasa ni zamu yenu msikatae
 
Barcelona amepigwa akakubali matokeo sasa ni zamu yenu msikatae
 
Barcelona amepigwa akakubali matokeo sasa ni zamu yenu msikatae
 
nshauhama huo ugonjwa wa moyo kitambo
 
Wanabodi..Mpaka sasa Aseno ameshakula 5....ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita...anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini uhakika unajua kabisa wanafungwa ngapi...kwanini asiache hii timu?? Anajisikiaje kungangania kitu hakiwezi??

Mwenzako nipo kwenye mgomo binafsi wa kushangilia hiyo timu mpaka Wenger aondoke ndio ntarudi kushabikia.
 
Kocha hatuna.wenger hana kipaji cha kuwahamasisga wachezaji. Unajua mpira sio kufundisha tu.Unaweza kuwa mfundishaji mzuri.lakini usiwe na kipaji cha kuwapa moyo wachezaji.Wenger hana hicho kipaji.
daah inauma sana. huyu mzee bora akapumzike tu
 
e255a233f9e19f957da1a4f818042746.jpg
 
Back
Top Bottom