Hivi IGP wambura na Generali Mkunda wana elimu gani?

Msichanganye mambo,Kuna wasomi wazuri tu tunawaju,tena wa level za kimataifa na misaada Yao inajulikana...but walivyoingia Katika SIASA au kupata mashavu ya serikalini wakaanza kusema na kutenda kama watoto wa kidato cha nne...

So hao uliowataja sitoshangaa kuona Wana cv nzuri sana,.

SYSTEM IPO CORRUPT
 
Kawekwa mtu kati na kundi la Mbwa Mwitu.. yeye ni KONDOO mdogo sana na walimchagua makusudi.. elewa hapo kwanza
Hizo ni double standard mkuu kwanini asijiuzuru kama anaona hana mamalaka mbona anakubali kutumika hivo?.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…