Bado mimi siamini kama hii ndio kikwazo kikubwa cha mapinduzi kuwezekana.
Tumeona mapinduzi yakifanywa na wanajeshi wenye vyeo vya kati wakishirikiana na wale wa chini na yakawezekana.
Samuel Doe alikuwa ni master sergent tu wakati anaipindua serikali ya Wiliam Tolbert huko Liberia.
Tena alikuwa anatoka jamii ndogo sana ya Krahn, hii ni jamii iliyokuwa ina dharauliwa sana na haikuwa na nguvu wala ushawishi wowote ule ndani ya Liberia..
...wakati huo serikali na jeshi zima la Liberia ilikuwa imejaa waliberia wenye asili ya Marekani wanaojulikana kama Americo-liberian ambao walikuwa wameitawala Liberia kwa zaidi ya miaka 120, na walikuwa wanapendeleana sana kama jinsi vile hii serikali ya bi kizimkazi inavyopendelea wazanzibari.
Jasiri Sergent Doe alitumia huo mwanya wa manung'uniko ya watu waliokuwa wamechoshwa na serikali ya bwana Tolbert kumobilize mapinduzi wakisaidiwa na nguvu ya uma wakaiangusha serikali ya Americo-liberian na kufanya sherehe kubwa wakiwa na matumaini sasa wanaenda kupata Liberia mpya ambayo inaongozwa na ma indigenous, hadi pale Samuel Doe alipowageuka kuwa dikteta mjinga anayependelea zaidi kabila lake na kuua wapinzani wake.
Kwa hiyo uwepo wa hao wavaa kobazi hapo juu ambao pasi na shaka ni wazanzibari haiwezi kuwa kikwazo cha kufanya mapinduzi endapo kama wanajeshi wetu wakiamu kuwa majasiri na kufanya mobilization ya siri kwa muda mfupi sana, na hasa ukizingatia wana support kubwa ya wanainchi.