BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Wambura ni mtaalam na fundi mzuri wa friji na viyoyozi_by Lissu.
Hata uwe professor lakn kama ulipita huku chini kwa kuunga unga lazma uwe tofauti na wasomi wasio ungaungaWambura Ana masters ya Criminal Syndicate UK
Naomba kujua haya majina ni watu wa wapi?Najua tu mkunda alikuwa mpishi jeshini
Elimu mbalimbaliHata uwe professor lakn kama ulipita huku chini kwa kuunga unga lazma uwe tofauti na wasomi wasio ungaunga
Kimuundo na majukumu Yes. CDF ni fugure head.Inaonekana chief of Staffs ana nguvu kuliko CDF kwa sasa.
Sijui mkuu,ila Wembura ni wasukuma kama sijakoseaNaomba kujua haya majina ni watu wa wapi?
Wambura ni wakuryaSijui mkuu,ila Wembura ni wasukuma kama sijakosea
Mkunda jina la kinyamwezi,ila huyu inadaiwa wa Dodoma,haishangazi,ni sawa na kumkuta mzaram akiitwa bundala ilhali ni jina la kinyamwezi, wanyamwezi walipita Dodoma kwenye biashara ya masafa marefuWambura ni wakurya
Mkunda ni huko kwa PK
Huyo wambura si ndo alienunua g-wagon hafafu kaisajiri kwa jina la mtoto wa dada akeKwenye suala la mlungula hakunaga cha CV. Hawa ni mabilionea walioajiriwa.
So he is a coward. Tutakuaje na mkuu wa majeshi kama huyo.Mkunda amezungukwa na Mbwa Mwitu yeye ni KONDOO mdogo sana hana cha kufanya.. wamemuweka mtu kati
Mkunda-MorogoroMkunda jina la kinyamwezi,ila huyu inadaiwa wa Dodoma,haishangazi,ni sawa na kumkuta mzaram akiitwa bundala ilhali ni jina la kinyamwezi, wanyamwezi walipita Dodoma kwenye biashara ya masafa marefu
Mkunda jina la kinyamwezi,mimi mnyamweziMkunda-Morogoro
Wambura-Mara kwa kina Witare Mwita Maranya nkutema mbare amang'ana gasarikire muraaa usirente bhukange!
Mkunda kwa kinyamwezi maana yake nini?Mkunda jina la kinyamwezi,mimi mnyamwezi
Mkunda ni mburuzo, wanyamwezi walipita Moro na waliweka makazi,wakawa na kautawalaMkunda kwa kinyamwezi maana yake nini?
BTW mzimu wa waruguru ulitokana na wanyamwezi.
Fuatilia historia ya chief kingwalu na mzimu wa kolelo.
Mkunda ni mburuzo, wanyamwezi walipita Moro na waliweka makazi,wakawa na kautawaMkunda kwa kinyamwezi maana yake nini?
BTW mzimu wa waruguru ulitokana na wanyamwezi.
Fuatilia historia ya chief kingwalu na mzimu wa kolelo.