Mr Kaptenovela
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 621
- 618
Imejitosheleza ilhali umeandika majanga tu... Sababu umepewa hapo juu... Uwe unauliza.anzisha mada yako yenye mfumo wa swali, yangu imejitosheleza
Imejitosheleza ilhali umeandika majanga tu... Sababu umepewa hapo juu... Uwe unauliza.anzisha mada yako yenye mfumo wa swali, yangu imejitosheleza
Nilidha utanielewa kumbe kichwani mzingoPia hawezi kuchukua maji ya kilimanjaro akafuta neno kili eti yasomeke njaro
swala ni either anywe kama yalivyon au aachane nayo, the same kwa mh Rias, alikua na choice ya kutokuvaa jezi au akiamua kuvaa then aheshimu wadhamini na brand zao PERIOD
small mind think straight.....Imejitosheleza ilhali umeandika majanga tu... Sababu umepewa hapo juu... Uwe unauliza.
Endelea kusubili×× jibusmall mind think straight.....
mkuu una uelewa wa level gani katika maswala ya copyright, patent, branding, intellectual property, trade mark
nasubili majibu
Ishi siyo rais , kwani what is urais? Urais inaweza ikawa ngekewa siyo kuwa wewe ni bora katika evolution/uumbaji (mnaoamini uumbaji) kuliko wengine au una exceptional qualities; ishu, to me ni umakini katika kutenda mamabo!Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.
Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.
Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?
Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?
Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?
Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?
Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.
Kwa hisani ya SPORPESA.
Kwani alikwenda mpirani kama Rais au kama JPM binafsi?Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.
Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.
Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?
Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?
Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?
Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?
Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.
Kwa hisani ya SPORPESA.
Nafikiri labda walichukua jezi kamili wakazikata na kuunganisha ndio maana imesomeka hivyo.
afadhali no commentSasa kakosea nn sasa hapo
Hata kama simpendi jpm ila watu wengine nyie ni vituko sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hao sports pesa ndio walikua wadhamini wa mechi hio.
Huwezi kumwona Bahkresa akiwa kwenye hafla ikulu au kwenye shughuli ya kiserikali halafu apige picha akiwa ameshikilia chupa ya maji ya Kilimanjaro... Jiongeze mkuu
Haya ni mambo ya endorsement
Nafikiri labda walichukua jezi kamili wakazikata na kuunganisha ndio maana imesomeka hivyo.
Nafikiri labda walichukua jezi kamili wakazikata na kuunganisha ndio maana imesomeka hivyo.
wewe vipi? na wewe toa maoni yako, ya kwangu yaache, unakurupuka sana halafu huna ishu,ivi kwanini watu ni wavivu kusoma ? umeandika nini sasa hapa ? soma tena vizuri bandiko then urudi kusoma ulichoandika hapa sawa ?
Sent from my iPhone using JamiiForums