Hivi Ikulu mnafeli wapi? Mnatutia aibu Rais kuvaa jezi iliyoandikwa SporPesa badala ya SportPesa

Huwezi kumwona Bahkresa akiwa kwenye hafla ikulu au kwenye shughuli ya kiserikali halafu apige picha akiwa ameshikilia chupa ya maji ya Kilimanjaro... Jiongeze mkuu

Haya ni mambo ya endorsement

Mfano wako hauna uhusiano na mada mezani, mambo ya endorsement yanaingiaje hapo..?
 
Rais kageuzwa bango la matangazo ya biashara.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
mfilisti tuchukue na hii kwa ajiri ya VAR
😆😆😆😆😆😆
 
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

Hivi who cares about what this guy wears kweli!?
 
Nafikiri labda walichukua jezi kamili wakazikata na kuunganisha ndio maana imesomeka hivyo.
ni kwel ukiangalia collar haijakamilika AF na neno uhisport kifuani liko nusu😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌
 
Screenshot_20200309-201934.jpg
 
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

Ndio hicho ulichokiona tu.
 
Halafu hii tabia ya wanasiasa kuvaa jezi mchanganyiko kwenye hii derby sijawahi kuona sababu ya msingi!

Kwa nini uwe mnafiki hadi kwenye burudani? Kama hushabikii timu yoyote kati ya hizo vaa tu moja ya nguo zako unayoipenda inatosha!
 
Hahahahaha mkuu jiongeze aiseee,,tatzo la wa tz ndo hlo hamjiongez kaz kufuata mihemko tu.
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

Siasa za Tanzania, Raisi anakwenda kwenye mechi yampira kuomba KURA kwa kujifanya yuko Neutral..

Hakuna kitu NEUTRAL kwenye spoti, kuna kuwa mpenzi mshabiki wa Timu moja na kuwa sio mshabiki wa Timu nyengine..

Nashangaza bado Watanzania wanazugwa na wanasiasa na wanazugika..

Huyu jamaa hakwenda kutizama mpira kenda uwanjani kujipendekeza kwa wapiga kura!!
 
Back
Top Bottom