Hivi Ikulu mnafeli wapi? Mnatutia aibu Rais kuvaa jezi iliyoandikwa SporPesa badala ya SportPesa

wewe vipi? na wewe toa maoni yako, ya kwangu yaache, unakurupuka sana halafu huna ishu,

Mkuu nanukuu maneno yako wewe "Labda hao sports pesa ndio walikua wadhamini wa mechi"

Sasa basi kama SPORTS PESA ni mdamini kama wewe ulivyosema Mkuu wa nchi kavaa jezi imeandikwa SPOR PESA SASA HUONI KAMA NI KAMPUNI MBILI TOFAUTI ?. we umeongelea sport pesa na sio SPOR PESA ambayo mtoa mada anaongelea.

Alafu usikasirike this is a learning platform mkuu, KUNA KAMPUNI CURRY alishawah kuvunja mkataba kisa wakati wamemwita kuweka mambo sawa WALIKOSEA KUTAJA JINA LAKE TU.

Dont hate me for saying the TRUTH mkuu, wewe ndio unapata dhambi sio mimi, LETS stick to the point Tshirt haijaandikwa SPORT PESA so SIO SPORT PESA na ni KOSA KUBWA KWA KAMPUNI YA SPORT PESA sababu ULE UWAKILISH SIO WA KAMPUNI YAO NI WA SPOR PESA...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

Tulikuwa tunabana matumizi, tukachukua Jezi mbili tofauti na kuzishona...

Tuna nyingine upande wa njano upo kishoto na nyekundu kulia...
Itavaliwa siku hao wekundu wakiwa nyumbani na hao wa njano wakiwa ugenini

Bana matumizi...![emoji23]

Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
 
Kama we ni mtaalamu wa mambo na una upeo mkubwa wa kufikiria hukutakiwa kuja na junk thread kiasi hiki

Ukiangalia hapo ambapo "T" ilibidi ikae ndo eneo ambalo blend imefanyika! hii ikafanya T ififie au kupotelea kwenye blend hiyo... Kwa maelezo zaidi kasome "process of blending" na jinsi inavyoweza kubadiri muonekano wa kitu au kufifisha kitu

Kama akili inakuchemka kulikuwa hakuna haja ya kuuliza ila shida ni kwamba kile kizazi cha "Big Result Now" (BRN) ndo kimeanza kufanya kazi sahiv
 
ingeandikwa sportpesa hapo ndo angekuwa amekosea kwasababu angekuwa amekopi logo ya kampuni na kuiweka kwenye jezi yake ambayo hata kampuni haijalipwa.
Kampuni ingeweza kufungua mashtaka ya utumizi mbovu wa logo yake.
Lakini yeye katengeneza tshet yake isiyokuwa ya sport pesa ndomana akaipa logo ya spor pesa
 
Cha ajabu wewe nimekuelewa vizuri sana kuliko mtoa mada.

Nimehangaika sana kutafuta maudhui anayoongelea nikashindwa kumuelewa.

Ufafanuzi wako ndiyo umenisababisha niangalie kwa makini ile jezi na kugundua hayo mapungufu anayoongelea.

Kweli uandishi ni kipaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nanukuu maneno yako wewe "Labda hao sports pesa ndio walikua wadhamini wa mechi"

Sasa basi kama SPORTS PESA ni mdamini kama wewe ulivyosema Mkuu wa nchi kavaa jezi imeandikwa SPOR PESA SASA HUONI KAMA NI KAMPUNI MBILI TOFAUTI ?. we umeongelea sport pesa na sio SPOR PESA ambayo mtoa mada anaongelea.

Alafu usikasirike this is a learning platform mkuu, KUNA KAMPUNI CURRY alishawah kuvunja mkataba kisa wakati wamemwita kuweka mambo sawa WALIKOSEA KUTAJA JINA LAKE TU.

Dont hate me for saying the TRUTH mkuu, wewe ndio unapata dhambi sio mimi, LETS stick to the point Tshirt haijaandikwa SPORT PESA so SIO SPORT PESA na ni KOSA KUBWA KWA KAMPUNI YA SPORT PESA sababu ULE UWAKILISH SIO WA KAMPUNI YAO NI WA SPOR PESA...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani ile jezi inahusiana vp na udhamini wao? Ni jezi ya team gani waliyoingia nayo mkataba?
Ni wazi kuwa imefanyika makusudi sababu ile si moja kati ya jersey zenye udhamini wa sportpesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba SportPesa wanaweza fungua mashtaka kisa kakosea brand name? Nahisi kwakuwa yeye si mchezaji basi haina effect sana.Yeye ni raia tu aliingia uwanjani kutazama mchezo. Angekuwa mchezaji hilo lingekuwa tatizo.
Kutaka jina likamilike pale unalazimisha designers wabadili kabisa font za maneno na wasogeze nyuma zile herufi, bila hivo haiwezekani na waliamua kuacha hivo.
 
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

Kama aliyemvalisha jezi hiyo ni shabiki wa Yanga, basi hukumu ni kwamba Yanga wanyang'anywe points za mchezo huo!
 
Kwani ile jezi inahusiana vp na udhamini wao? Ni jezi ya team gani waliyoingia nayo mkataba?
Ni wazi kuwa imefanyika makusudi sababu ile si moja kati ya jersey zenye udhamini wa sportpesa.

Sent using Jamii Forums mobile app

kwa utetez huo hapo nimeelewa ile sio jez ya timu yeyote ile, ni jez lakihuni tu, kama hivyo haina impact yeyote

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

Kwani yeye mwenyewe hajui kusoma
 
Acha kukaza fuvu lako! Kubali kwamba unahitaji kuelimisha juu ya Hilo! Kwani hujawahi kuona T-shirt original kabisa zenye maandishi yaliyo katika katika sehemu za muunganiko wa kitambaa?
anzisha mada yako yenye mfumo wa swali, yangu imejitosheleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Mh. Rais kahudhuria mechi ya watani wa jadi, tunamshukuru sana, sababu matukio makubwa kama haya si tu ni muhimu lakini ni tija yeye kama kiongozi wa nchi kuhudhuria.

Pia aliamua kuwa neutral katika ushabiki kwa kuvaa jezi nusu Simba nusu Yanga, ingawa wambea wanasema Mh. ni Simba damu damu.

Kituko ni kuwa waliomwandalia hiyo jezi, hivi SPORPESA ni nini? Ni kweli kuwa hawakuona jezi ya Mh. inasomeka SPORPESA? Au wanamalengo yao binafsi?

Lakini pia wanajua ni makosa kufanya brand distortation? Na je, wanajua Sport Pesa wame-invest kiasi gani katika jezi hizo ili jina lao kuwa sawa?

Je, Sport Pesa wakiamua kushtaki katika mahakama za kibiashara, wanajua ukubwa wa danage yake?

Lakini kwa heshima na wadhifa wa Mh. Rais kwa nini aandaliwe jezi yenye chapa isiyoeleweka? Ni gharama kiasi gani kuchapisha jezi kama ile yenye vipimo na maandishi yaliyo sawa kulinganisha na hiki kituko walichofanya?

Ni bora kutokuvaa jezi kabisa kuliko kuvaa jezi inayoenenda kinyume na taratibu za kimichezo, lakini pia haiba kwa mvaaji.

Kwa hisani ya SPORPESA.

Anadanganywa sana huyu tumwombee.
 
Back
Top Bottom