Hivi ili nawe umeliona? Nyumba za makazi Marekani na Ulaya kutokuwa na fensi ndefu

Marekani nyumba iliyo na hivyo viuzio vyeupe (white picket fence) ni ishara ya kwamba umetoboa kimaisha yaani unaishi middle-class suburban life with peaceful neighborhoods.

Asilimia kubwa ya makazi hayo majirani zako ni madaktari, wanasheria n.k. Kwa kifupi ni watu wa daraja la kati kiuchumi wenye kazi zenye malipo mazuri.
 
Nyumba yangu ya Kuishi naijenga kwenye Uwanja wa Heka 4,Nyumba ipo inaanzia baada ya heka ya 1.

Katika nyumba hii kuna fensi/uzio utakao enda Juu 12ft,Baada ya zile 12ft kuna Nyaya za Umeme/security wires zitakazoenda Juu 1meter.

Ukipita nnje hutohisi wala kujua kama kuna binadamu anae ishi ndani ya ukuta huo,Kabla hujaukuta ukuta kwa nnje kuna garden ya meter mbili kutoka nnje garden yenye uzio mfup wa bomba za Taaa za urembo.

Kwa ufupi Ukuta MREFU ni moja ya ndoto zangu,Vibaka watakaojitahidi ku uruka huu ukuta na kuingia ndani,Kutoka wasahau n lazima watafute entrance waende kutokea huko maana kwa namna nitakavyofanya ndani ya ukuta,Mwizi yeyote atae ingia ndani ili aweze kutoka itawabidi waje Team ya watu wasio pungua wa 5.

Watu wa 5 mnakuja kuiba mnaingia ndani camera hazijawaona,mbwa wanaokula nyama mbichi hawaja waona,basi kutakua na mkono wa FBI toka US ila kwa wezi wa hii Nchi,kunipata kuniibia mniibiee mniteke nnje ya nyumbani kwangu ila nikishaingia MMENIKOSA.

nyumba yangu nataka iwe moja ya sehemu salama kabisa mimi kuwahi kuishi hapa Duniani,itakua n zaidi ya Safe house kwa namna itakavyokua ndani.

Yote kwa Yote Uzio wa nyumba hautokua chini ya 12ft labda uongezeke to 14ft ila sio kuwa chini ya hapo.

Nyumba za vioo na kuta fupi fupi nawaachia nyie wazungu.
 
WaAfrica tunapuuzia sana mila zetu, ukipiga ndumba vizuri huhitaji kuweka ulinzi wala fence... Ndumba ukipiga vizuri hakuna mwizi atasogea eneo la nyumba yako, wakija wanakutana na bahari au kichaka tu...nyumba hawaioni, au wanachezea mijeledi..
@samurai inaonekana upo deep sana kwenye Tawile.
 
Nyumba yangu ya Kuishi naijenga kwenye Uwanja wa Heka 4,Nyumba ipo inaanzia baada ya heka ya 1.

Katika nyumba hii kuna fensi/uzio utakao enda Juu 12ft,Baada ya zile 12ft kuna Nyaya za Umeme/security wires zitakazoenda Juu 1meter.

Ukipita nnje hutohisi wala kujua kama kuna binadamu anae ishi ndani ya ukuta huo,Kabla hujaukuta ukuta kwa nnje kuna garden ya meter mbili kutoka nnje garden yenye uzio mfup wa bomba za Taaa za urembo.

Kwa ufupi Ukuta MREFU ni moja ya ndoto zangu,Vibaka watakaojitahidi ku uruka huu ukuta na kuingia ndani,Kutoka wasahau n lazima watafute entrance waende kutokea huko maana kwa namna nitakavyofanya ndani ya ukuta,Mwizi yeyote atae ingia ndani ili aweze kutoka itawabidi waje Team ya watu wasio pungua wa 5.

Watu wa 5 mnakuja kuiba mnaingia ndani camera hazijawaona,mbwa wanaokula nyama mbichi hawaja waona,basi kutakua na mkono wa FBI toka US ila kwa wezi wa hii Nchi,kunipata kuniibia mniibiee mniteke nnje ya nyumbani kwangu ila nikishaingia MMENIKOSA.

nyumba yangu nataka iwe moja ya sehemu salama kabisa mimi kuwahi kuishi hapa Duniani,itakua n zaidi ya Safe house kwa namna itakavyokua ndani.

Yote kwa Yote Uzio wa nyumba hautokua chini ya 12ft labda uongezeke to 14ft ila sio kuwa chini ya hapo.

Nyumba za vioo na kuta fupi fupi nawaachia nyie wazungu.
mkuu ukuta mita 5 hilo si ni gereza
 
Back
Top Bottom