Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuta ndefu zipo bongo tu,hata south Afrika,fence zinajengwa kwa vyuma na senyenge,ila ndani panaonekana,Siku ya jana hiki kitu kili-pop out kwenye akili yangu nikaona ni zooooooom kwa ukaribu zaidi kudhibitisha ukweli wa hiki kitu.
Nili-google picha za nyumba za makazi za wenzetu kwa kweli sikuona fensi ndefu zote fupifupi.
Nikajaribu ku-recall picha za movies, nikawasha Tv kuangalia taarifa ya habari za nje kwa kweli muonekana wa fensi niendelea kuuona kuwa ni ule ule. Hata kwa baadhi zilikua ndefu bado kulikua na uwazi ambao mtu aliepo nje anaweza kuona ndani fensi kunanini.
Sitaki kuamini kuwa maeneo yote yapo hivyo ila hii kitu inaweza kuwa na fashion au ni matakwa ya mamlaka.
Huku kwetu sasa, fundi anajenga mpaka tofali zitakapo ishia na wenye uwezo wanaongezea electric wire yani ni vurugu.
Kwenu sasa Wataalam wa nyumba na makazi bila kuwasahau Diasporas na wengine wote wenye kufahamu ukweli wa ilijambo.
View attachment 2184038
pengine kwa madiba hakuna vibaka kama huku kwetuKuta ndefu zipo bongo tu,hata south Afrika,fence zinajengwa kwa vyuma na senyenge,ila ndani panaonekana,
Tena unaambiwa vibaka wa south wana roho za kishetani kuliko bongo usiwachukulie poapengine kwa madiba hakuna vibaka kama huku kwetu
Wabongo bhana hata kuwa kwenye roho tumeshindwa kuongoza, kila kitu sie sio best.Tena unaambiwa vibaka wa south wana roho za kishetani kuliko bongo usiwachukulie poa
Usiseme njaa tu hata akili zetu ni hovyo hapo utashangaa watoto wanakuja kujifunza shabaha kwenye madirisha ya nyumba yakoHawa wenzetu wameendelea hawana shida. Sisi tuna njaa sanaView attachment 2199505View attachment 2199506
😂🤣😂ishu ni ulizi tu kwamba walau mwizi aibe kwa jasho
😂🤣😂Hawa wenzetu wameendelea hawana shida. Sisi tuna njaa sanaView attachment 2199505View attachment 2199506
dahU S A L A M A
Huku Ulinzi ni jukumu la mtu binafsi,, wenzetu ulinzi ni jukumu la Serikali.
Fensi iwe ndefu vipi kwa usalama hakikisha mtu anaweza kuona ndani.Ukiweka fupi wanarukia ndani wanakomba kila kitu
Inawezekana na wewe ni kibaka mzoefu kwa huu ushauri ulioutoa hapana aiseeFensi iwe ndefu vipi kwa usalama hakikisha mtu anaweza kuona ndani.
Fensi ndefu za ukuta zinaatarisha zaidi usalama wako. Kwani vibaka wakiruka ukuta wakawa ndani ya fensi watafanya kila baya kwa uhakika na bila wasiwasi wa kuonekana. Wengi wanaovunjiwa madilisha huwa naa kuta ndefu.
Pia kuta ndefu NI jela inakunyima Uhuru wa kujua kinachooendelea nje.
Pia hujenga ubinafsi kwa watoto na kuwaundia dunia ndogo kabisa.
Wakati mwingine ni sheria za mahali husika, huku dodoma kuna maeneo C.D.A. walikuwa hawataki mtu ajenge fensi ndefu., au kijumba mbele ya nyumba' inapigwa X na inabomolewa.Inawezekana na wewe ni kibaka mzoefu kwa huu ushauri ulioutoa hapana aisee
Wakati mwingine ni sheria za mahali husika, huku dodoma kuna maeneo C.D.A. walikuwa hawataki mtu ajenge fensi ndefu., au kijumba mbele ya nyumba' inapigwa X na inabomolewa.
Kati ya nyumba zilizo na fance na zisizo zipi nyingi,wasio na fance inamaana wanaibiwa wao tu amaTatizo wizi mkuu!