Hivi ili nawe umeliona? Nyumba za makazi Marekani na Ulaya kutokuwa na fensi ndefu

This is Africa🎶🎶
 
Ukiona hivyo ujue usalama upo na majirani siyo wambea...

Huku usalama mdogo...
 
Hizo fensi ni mahsusi kuonesha mipaka tu, kuna maeneo nyumba nyingi tu zipo wazi hazina fensi
 
hapa wenye PGO yao wenyewe wakikutamani tu unakula ze chembe huko mtaani, sasa hio fensi ya paspoti unamuwekea nani inji hii?
 
Hua nachukia pale watu wanapo linganisha vitu... kuna masuala ya culture, Security, fashion n.k

Suala la fensi katika jamii zetu halijaanza leo wa jana, zamani babu zetu walitengeneza fensi ndefu hizohizo kuzunguka maboma yao. Leo unataka watu wajenge fensi fupi sababu umeona US kuna fensi fupi? Kwanini usitake US wajenge fensi ndefu kama sisi?
 
mkuu upo deep naona mzigo umeu-track toka back from ancestors vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…