Hivi ili nawe umeliona? Nyumba za makazi Marekani na Ulaya kutokuwa na fensi ndefu

Jirani zangu wengine Jana wameibiwa, nyumba ipo ndani ya fensi washikaji waliruka fensi na kuingia ndani.
Kufuri sijui wamezichekechaje ase yani ni kama walikua na funguo vile. Wamekomba kila kitu ndani na kuacha mfagio.
 
Kuta ndefu zipo bongo tu,hata south Afrika,fence zinajengwa kwa vyuma na senyenge,ila ndani panaonekana,
 
uswahilini shida una ukuta mrefu lakini hata gate tunaogopa kuliacha wazi kwa muda kwani vibaka lazima wachungulie kuna nini ndani.
 
U S A L A M A


Huku Ulinzi ni jukumu la mtu binafsi,, wenzetu ulinzi ni jukumu la Serikali.
 
Ulaya wezi sio kama wa huku na kule kibaka wanapatikana sehemu za usafiri lakini kwenye makazi ya watu hawapo na ukioatikana na hatia umeishia jera kule wanashindana kujenga bustani za maua na sio fence kama huku
 
Wenzetu wanajua nini mwizi anafata kwako so hawana mazoea ya fensi ndefu kozi mwizi haibi nyumba yako anaiba vilivyo ndani ya nyumba yako
 
Ukiweka fupi wanarukia ndani wanakomba kila kitu
Fensi iwe ndefu vipi kwa usalama hakikisha mtu anaweza kuona ndani.
Fensi ndefu za ukuta zinaatarisha zaidi usalama wako. Kwani vibaka wakiruka ukuta wakawa ndani ya fensi watafanya kila baya kwa uhakika na bila wasiwasi wa kuonekana. Wengi wanaovunjiwa madilisha huwa naa kuta ndefu.
Pia kuta ndefu NI jela inakunyima Uhuru wa kujua kinachooendelea nje.
Pia hujenga ubinafsi kwa watoto na kuwaundia dunia ndogo kabisa.
 
Inawezekana na wewe ni kibaka mzoefu kwa huu ushauri ulioutoa hapana aisee
 
Inawezekana na wewe ni kibaka mzoefu kwa huu ushauri ulioutoa hapana aisee
Wakati mwingine ni sheria za mahali husika, huku dodoma kuna maeneo C.D.A. walikuwa hawataki mtu ajenge fensi ndefu., au kijumba mbele ya nyumba' inapigwa X na inabomolewa.
 
Wakati mwingine ni sheria za mahali husika, huku dodoma kuna maeneo C.D.A. walikuwa hawataki mtu ajenge fensi ndefu., au kijumba mbele ya nyumba' inapigwa X na inabomolewa.

Kwenye makazi haviruhusiwi kujenga uzio usioruhusu kuona ndani. Labda kwenye maeneo ya viwanda na karakana.
1. Inawanyima watoto ukuwaji mzuri na maingiliano na wenyeji.
2. Inaruhusu kuweza kutendeka maovu makubwa ndani Kama ya wadada wa Kazi, watoto kutoka kwa wadada wa Kazi, wazazi katili kwa watoto
3. Ukatili Kati ya wenzi pia.
4. Waalifu wakiruka ukuta kwa Siri wanaweza fanya lolote bila nje kuona. Au majambazi wakipita getini vizuri Kama wageni wanaweza kufanya utekaji bila nje kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…