Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Unakaa kihasara hasara hata kutwa hujala halafu unataka mademu wakali kama Rashida Wanjara,mademu wazuri bongo tunamega vinara kama we umeshindwa Basi stop!!
Dully namba waneee,
Kiboko yamabishooo,
Kutoka gerezaneee,
Ilala kariakooo,


Nimekumbuka huo mstari hv Jay ashafanyaga collabo na dully kweli?
 
Noma sana!
 
Huyu alikua demu wa profesa jay na kala pina katika ile diss track ya beef alitamka jay kapewa miwaya na demu wake
 
Salamu ziende kwa Wanjara, Don masha kitasa kwenye bunyero,, mwambie simba kachalala,, anataka msambwanda kwa buku jero, Aje kaianama,,,shika ukuta - Diamond platnumz ft Burna boy - kainama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…