Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

Nani alikudanganya kuwa facebook ni ya mwaka 1999 au 2000?

Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
Facebook wenyewe,

Facebook is a social networking service originally launched as FaceMash on October 28, 2003, before launching TheFacebook on February 4, 2004. It was founded by Mark Zuckerberg and college roommates and fellow Harvard University students, in particular Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz, and Chris Hughes. The website's membership was initially limited by the founders to Harvard

By the time 1999 kwenda 2000 tayari app ilikuepo ila bado haikua launched, kuna watu wabishi au mnapenda kutukanwa?
 
Tatizo watoto wa form One wapo humu mkuu, watoto wanasumbua unaweza ukamjibu hivi akaletà habari za kitoto ndio nlipomwambia umri ila alipojieleza kuhusu Abbas Gulamari boss wa Yanga wa kipindi hicho, ndipo nlipoona huyu ni mtu mzima sio wale watoto wasumbufu wa karne ya 20 kuja 21,
Usinichukulie poa Jamaa, wakati huo Yanga kuna Abbas Gulamali Simba kuna Dewji Baba.
 
Its simple. Unampa pesa hata wewe anakutungia wimbo. Mwanamuziki yeyote unaweza mwambia akutungie wimbo unampa pesa anakutunga.
Ila inawezekana pia kufanya kwa mapenzi tu, maana naamini ule wa "Roger Miller" aliimba kwa mapenzi tu na kuipongeza Cameron.
 
Alilipwa usd 10k na gulamali,wasaniii wa congo hadi leo wanafanya sana hiyo kitu inaitwa mabanga mpe hela akutaje kwenye nyimbo au dau kubwa atunge nyimbo yako kabisa kama yule dada mbongo jasmine aliyemsaidia msuva vs wydad wanavyomrusha
ila msisahau kutunga wimbo ni jambo moja ila kufanya hit song ni jambo lingine.

Hivyo pongezi pia apewe aliyempa Kazi Peppe Kalle maana aliitendea haki maana ngoma ilibamba.
 
Sorry kama ntakua nje ya mada, Vipi na Yule Hidaya aliyepotezwa na Pepe Kale na alimlipa?
Hapana, hii sasa ilikuwa na love tu.

Hidaya alikuwa "Mama ya mujini" hivyo nadhani alidhamini au alimkirimu Peppe alipoenda kufanya show Chuga.
 
Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.

Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
Ni kama unavyosikia papaa Msofe,Pededjee Ndama mutoto ya ng'ombe au Kayembe Shetembaa.

Uliza kwa nini wanaimbwa sana hao
 
Ila Hidaya aliimbiwa kwa mapenzi tu sidhani kama alimlipa Peppe Kale.
Hidaya ni Mwanamke aliyemsaidia Pepe kalle kusurvive Bongo baada mipango kuvurugika akiwa Tanzania! Walikuja kupiga show ila mambo hayakwenda sawa, Sasa wakiwa kule Arusha huyo Hidaya akatoa support kubwa mpaka ikapatikana nauli ya kurudi Zaire!!

By the way mwaka 2015 nilikutanishwa na Mtoto wa huyo Hidaya mwenyewe! Analishape la hatareeee, niliambiwa anaishi Europe huko by that time!!
 
Ila inawezekana pia kufanya kwa mapenzi tu, maana naamini ule wa "Roger Miller" aliimba kwa mapenzi tu na kuipongeza Cameron.
Pepe Kalle alilipwa na Abbas Gulamali hili wala si la mjadala. Tena alitunga akiwa Tz. Abass Gulamali alikuwa mfadhili wa Yanga
 
Hidaya ni Mwanamke aliyemsaidia Pepe kalle kusurvive Bongo baada mipango kuvurugika akiwa Tanzania! Walikuja kupiga show ila mambo hayakwenda sawa, Sasa wakiwa kule Arusha huyo Hidaya akatoa support kubwa mpaka ikapatikana nauli ya kurudi Zaire!!

By the way mwaka 2015 nilikutanishwa na Mtoto wa huyo Hidaya mwenyewe! Analishape la hatareeee, niliambiwa anaishi Europe huko by that time!!
Nlipita pale miaka ile....toto tamu sana lile.
 
Kuna majitu maongo aisee!!
Shida nini hapo mkuu? Umeelewa nilichomaanisha? Sijasema ilikua launched 1999-2000, km hujaelewa uliza?

Hio app/website walikua nayo kipindi hicho ilikua bado haijawa launched walikua wanatafuta wafadhiri ila hio website/app ilikuepo tu na imekua launched 2003-2004, shida nini hapo? Nini haujaelewa? Km hujui jambo acha kujitia ujuaji nyambafu

Au niliposema imefunguliwa 1999-2000 ndio fuvu lako limekakamaa? Hujaelewa? Huelewi kitu bongo lako limelala fofofo, read between the lines bogus,

Si ni wewe ulisema wale wanaozama na ndege ya PA kule Lake Victoria wanafanya mazoezi ya ajali? So stupid, kujitia ujuaji kila kitu kujifanya unajua km hujui uliza sio unaropokaropoka tu, useless
 
Back
Top Bottom