Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

Shida nini hapo mkuu? Umeelewa nilichomaanisha? Sijasema ilikua launched 1999-2000, km hujaelewa uliza?

Hio app/website walikua nayo kipindi hicho ilikua bado haijawa launched walikua wanatafuta wafadhiri ila hio website/app ilikuepo tu na imekua launched 2003-2004, shida nini hapo? Nini haujaelewa? Km hujui jambo acha kujitia ujuaji nyambafu

Au niliposema imefunguliwa 1999-2000 ndio fuvu lako limekakamaa? Hujaelewa? Huelewi kitu bongo lako limelala fofofo, read between the lines bogus,

Si ni wewe ulisema wale wanaozama na ndege ya PA kule Lake Victoria wanafanya mazoezi ya ajali? So stupid, kujitia ujuaji kila kitu kujifanya unajua km hujui uliza sio unaropokaropoka tu, useless
Aisee Kaka umepatiaa huyu boya Mlolongo katudanganya asbh asbh eti anasema ndege hyo ilikuwa inafanya mazoezi ya ajali pumbafu San huyu dogo kaniudhi siku nzima yaani ,yaani ajali inatokeaa yeye anakuja na assumption zake za kipuuzi zizizotumia akili kudai kuwa ndege ilikuwa inafanyiwa majaribio
 
Back
Top Bottom