chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
Lugha ya kichugastan ya wale wadudu wa ArushaWakati wewe unawaza hilo mimi nawaza.... Hvi hii miaka ya karibuni kuna lugha au kabila jipya lipi limejitoleza
Lugha ni sauti za nasibu ambazo hutumika katika kuwasiliana.Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
Kwa nini usichangamshe ubongo wako? Hujui watu wanajifunza lugha?Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
Zamani kabisa lugha ilikuwa Moja kwa sababu watu wa kwanza walikuwa wanakaa sehemu Moja.Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
hili hapa puchukatulina butukuluvu mbundingachu, vp umeelewa, kama hujaelewa hyo ndio lugha mpya ama nene mtu wanguWakati wewe unawaza hilo mimi nawaza.... Hvi hii miaka ya karibuni kuna lugha au kabila jipya lipi limejitoleza
Kwa Sasa unaweza kujifunza lugha yoyote naelewa, swali langu ni zamani wakati Kila mtu alikuwa na lugha yake tafsiri ilifanyika vipi wakati Kila mtu alikuwa na lugha yakeKwa nini usichangamshe ubongo wako? Hujui watu wanajifunza lugha?
Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
Mimi mwenyewe nina lugha mpya na kabila isipokuwa tu sijarasimisha nchini na duniani.Wakati wewe unawaza hilo mimi nawaza.... Hvi hii miaka ya karibuni kuna lugha au kabila jipya lipi limejitoleza
Lugha inafundishika,Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
Lugha inafundishika Kwa mtu ambaye anaijua tayari, Sasa Kwa ambao hamuijui lugha mtafundisha Nini?Lugha inafundishika,
wachina,wajapan,waarabu,wazungu walikuja africa kuishi,kula, na kujifunza lugha za kwetu,walikuwa radhi kukaa miaka 20 ili tu ajue lugha zetu. Mfano mwingine katika jamii za kifugaji za wasukuma, unakuta vijana wa wakabila mbalimbali huja usukumani kuchunga,hajui kuongea kisukuma, ila ndani ya miaka miwili tayari anakuwa anakifahamu kisukuma hivyo anaweza kuwa translator kati ya kabila lake na wasukuma. Mambo mswano, uliza maswali yenye mantiki acha kuwaza maswali mlendamlenda jitu zima hewaKwa Sasa unaweza kujifunza lugha yoyote naelewa, swali langu ni zamani wakati Kila mtu alikuwa na lugha yake tafsiri ilifanyika vipi wakati Kila mtu alikuwa na lugha yake
Nini chanzo cha watu kuishi na wanyama wa kufuga nyumbani bila kudhuriwa na wanyama pori kuishi pekeyao porini? Yani kipi kilichoumba na kuweka mipaka ya mazingira ya viumbe hivi kuelewana na kutoelewana kwa pamoja?wachina,wajapan,waarabu,wazungu walikuja africa kuishi,kula, na kujifunza lugha za kwetu,walikuwa radhi kukaa miaka 20 ili tu ajue lugha zetu. Mfano mwingine katika jamii za kifugaji za wasukuma, unakuta vijana wa wakabila mbalimbali huja usukumani kuchunga,hajui kuongea kisukuma, ila ndani ya miaka miwili tayari anakuwa anakifahamu kisukuma hivyo anaweza kuwa translator kati ya kabila lake na wasukuma. Mambo mswano, uliza maswali yenye mantiki acha kuwaza maswali mlendamlenda jitu zima hewa