Hivi ilikuwaje watu wakatafsri lugha wakati Kila watu walikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine?

Tifa Tihara - Fanya Haraka

Kilo Uniform Mike Alpa.

ANije BanjoM - Niaje Mjomba.

Jefero - Mia tano

Bati - Mia

Jiwe - Laki moja

Mlio - Milioni moja.
 
Lugha unajifunza tu kama lugha nyingine yoyote, hata wewe ukipelewa ukae na Wachina miaka 3 lazima utajua hata nusu ya lugha yao bila msaada wowote wa Mchina anayejua Kiswahili.
 
Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine πŸ€”
Zamani kabisa lugha ilikuwa Moja kwa sababu watu wa kwanza walikuwa wanakaa sehemu Moja.

Katika kule kutengana Kwa watu ndivyo msamiati akaanza kutofautiana kati ya kikundi kimoja Cha watu na kikundi kingine.

Nitaendelea kushusha Madi adhimu! Twende mdogo mdogo.
 
Wakati wewe unawaza hilo mimi nawaza.... Hvi hii miaka ya karibuni kuna lugha au kabila jipya lipi limejitoleza
hili hapa puchukatulina butukuluvu mbundingachu, vp umeelewa, kama hujaelewa hyo ndio lugha mpya ama nene mtu wangu
 
Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine πŸ€”

Wakati wewe unawaza hilo mimi nawaza.... Hvi hii miaka ya karibuni kuna lugha au kabila jipya lipi limejitoleza
Mimi mwenyewe nina lugha mpya na kabila isipokuwa tu sijarasimisha nchini na duniani.

Ubinadamu ni kazi the - humanity is work.
 
Kwa Sasa unaweza kujifunza lugha yoyote naelewa, swali langu ni zamani wakati Kila mtu alikuwa na lugha yake tafsiri ilifanyika vipi wakati Kila mtu alikuwa na lugha yake
wachina,wajapan,waarabu,wazungu walikuja africa kuishi,kula, na kujifunza lugha za kwetu,walikuwa radhi kukaa miaka 20 ili tu ajue lugha zetu. Mfano mwingine katika jamii za kifugaji za wasukuma, unakuta vijana wa wakabila mbalimbali huja usukumani kuchunga,hajui kuongea kisukuma, ila ndani ya miaka miwili tayari anakuwa anakifahamu kisukuma hivyo anaweza kuwa translator kati ya kabila lake na wasukuma. Mambo mswano, uliza maswali yenye mantiki acha kuwaza maswali mlendamlenda jitu zima hewa
 
Nini chanzo cha watu kuishi na wanyama wa kufuga nyumbani bila kudhuriwa na wanyama pori kuishi pekeyao porini? Yani kipi kilichoumba na kuweka mipaka ya mazingira ya viumbe hivi kuelewana na kutoelewana kwa pamoja?

Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…