Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

Obama na Clinton wana PhD,ila huwezi jua,ila Rais wenu na uDokta wa kupewa,akiwa anatambulishwa anaitwa Dkt Samia...Rubbish
Siku hizi hata Stenographers kutokea Paje Kizimkazi Zanzibar nao wanapewa Honored Doctorate ( PhD ) na Kufurahia Kutambuliwa kwa Title ya Dk / Dr mbele ya Halaiki.
 
Umeme ukikatika italaumiwa serikali na sio wafanyakazi wa Tanesco,umeme ukiwa stable itasifiwa serikali na wafanyakazi wa Tanesco pia coz serikali ndiye msimamizi na mpanga mikakati na kutoa fedha.
Damn Fool.
 
The choice is yours,

Umeleta thd ijadiliwe,so kila mtu atajadili kwa mtazamo wake,
Hatufanani.
Mpelekeni Yeye basi peke yake akacheze huko Ivory Coast mwakani ili arudi na Silverware nchini na mpate sababu ya Kustahili Kumsifia, Kumuabudu na Kujipendekeza Kwake sawa?
 
Siku hizi hata Stenographers kutokea Paje Kizimkazi Zanzibar nao wanapewa Honored Doctorate ( PhD ) na Kufurahia Kutambuliwa kwa Title ya Dk / Dr mbele ya Halaiki.
Mambo ya ajabu kabisa ,ila Mh Samia uwa anapita humu,ushauri wako wa kuwapiga pini chawa wa kusifia tu na kumuita Dokta atawaambia .
 
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?

Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi zozote kuwa Mnaboa kwa Kujipendekeza Kwenu kila mara Kumsifu Rais Samia na nina uhakika hata Yeye pia anaboreka nanyi na huenda hata Kimoyomoyo huwa anawaita Wapumbavu ( Mapopoma ) japo Machoni atajifanya anawapeni Tabasamu lake la Kizanzibari.

Nirudi Kwako Rais Samia Suluhu Hassan tafadhali nikuombe Zuia hii Viongozi wako Kujifanya Wanakusifia na Kukuabudu kwa kila Tukio Chanya kwani ndiyo hawa hawa Siku Ukistaafu na akija Rais Mwingine watakuhama, watakusema vibaya, watakuchafua na Kukudharau huku wakiwa Wanamsifia tena Kinafiki huyo Rais ambaye atakuja baada yako.

Nimalizie tu kwa nyie Viongozi Majuha na Wanafiki mnaopenda Kujipendekeza kwa Rais Samia Suluhu Hassan huku mkijifanya mnamsifia hadi Kumlamba Miguu yake kuwa iliyofuzu AFCON Jana ni Taifa Stars ya Watanzania na siyo Rais Samia Suluhu Hassan wenu sawa?

Taifa Stars ni ya Watanzania wote na siyo ya Rais Samia Suluhu Hassan peke yake. GENTAMYCINE naheshimu Mchango wake na Serikali yake lakini ni Upumbavu ( Upopoma ) usiovumilika Kulazimisha Akili ( Fikra ) zetu Watu wenye Upeo mkubwa duniani kuwa Mafanikio ya Timu kwa 99.9% yametokana na Yeye ( Rais Samia ) wakati kila Mtanzania kwa upande wake Kafanya alichokiweza na hatimaye AFCON ya mwakani ( 2024 ) nasi Tanzania tutakuwepo / tupo.

Kusema Ukweli Kwangu NI Tunu Kuu.

Wewe jamaa umetumia nini? mbona sikuhizi unaakili sana.
 
Mambo ya ajabu kabisa ,ila Mh Samia uwa anapita humu,ushauri wako wa kuwapiga pini chawa wa kusifia tu na kumuita Dokta atawaambia .
Najua huwa ananisoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo atanielewa na atafanyia Kazi niliyomshauri kama ikimpendeza.
 
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan?

Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi zozote kuwa Mnaboa kwa Kujipendekeza Kwenu kila mara Kumsifu Rais Samia na nina uhakika hata Yeye pia anaboreka nanyi na huenda hata Kimoyomoyo huwa anawaita Wapumbavu ( Mapopoma ) japo Machoni atajifanya anawapeni Tabasamu lake la Kizanzibari.

Nirudi Kwako Rais Samia Suluhu Hassan tafadhali nikuombe Zuia hii Viongozi wako Kujifanya Wanakusifia na Kukuabudu kwa kila Tukio Chanya kwani ndiyo hawa hawa Siku Ukistaafu na akija Rais Mwingine watakuhama, watakusema vibaya, watakuchafua na Kukudharau huku wakiwa Wanamsifia tena Kinafiki huyo Rais ambaye atakuja baada yako.

Nimalizie tu kwa nyie Viongozi Majuha na Wanafiki mnaopenda Kujipendekeza kwa Rais Samia Suluhu Hassan huku mkijifanya mnamsifia hadi Kumlamba Miguu yake kuwa iliyofuzu AFCON Jana ni Taifa Stars ya Watanzania na siyo Rais Samia Suluhu Hassan wenu sawa?

Taifa Stars ni ya Watanzania wote na siyo ya Rais Samia Suluhu Hassan peke yake. GENTAMYCINE naheshimu Mchango wake na Serikali yake lakini ni Upumbavu ( Upopoma ) usiovumilika Kulazimisha Akili ( Fikra ) zetu Watu wenye Upeo mkubwa duniani kuwa Mafanikio ya Timu kwa 99.9% yametokana na Yeye ( Rais Samia ) wakati kila Mtanzania kwa upande wake Kafanya alichokiweza na hatimaye AFCON ya mwakani ( 2024 ) nasi Tanzania tutakuwepo / tupo.

Kusema Ukweli Kwangu NI Tunu Kuu.
Umeandika madini sana,congrats
 
Back
Top Bottom