Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Kwaiyo umeamua kunitukana sio 😃😃aina shida Ngoja utafikia TU umri huo
 
Hatujiui mkuu, Licha ya kuwa na umaskini mkali lakini bado maisha matam

Na nijizili nijenge makorokoroni ili iweje? Acha niendelee kupanga Town maisha yenyewe mafupi haya
Jenga we mzee acha kuhangaika kwenye nyumba
Unejenga kibanda unaita nyumba unazijua nyumba ww
Jenga we mzee acha ujinga
 
Mkuu, Kuna mzee kila akiongea na watoto wake lazima aseme unajua hamna kwenu? anataka waungane wamjengee maana kachoka kuhama hama na kujenga hawezi tena umri umeenda cement nondo ipo juu. Nadhani ujanani alikuwa na hizi akili.
 
Wewe je una nini mpaka sasa
 
Ukijenga wewe inatosha, kujenga sio mafanikio, ndiomaana nyumba haikuongezei chochote zaidi ya sifa kwa washamba wenzio.

Mwenye ndoto ya kujenga na ajenge na asiyetaka acha apange, hata hivyo nyumba bado ni nyingi sana kama kila mtu ataamua kujenga tutasababisha balance ya mzunguko wa hela ipungue kwa wanaotegemea pango😅, acheni ujinga kupanga kuna raha yake hasa siku za kulipa kodi zikikaribia na mfukoni hapaeleweki.

Hata hivyo kwa Tanzania hapa wengi hamjengi bali mnachafua ardhi kwa kukusanya udongo na vifaa vya ujenzi, kiufupi mnaharibu taswira nzima ya miundombinu, nyie mnaojenga baadae mnaipa kazi ngumu serikali ktk suala la mipango miji sababu ya wingi wa vichuguu vyenu visivyopangilika, tafuteni pesa kwanza ndipo mjenge majumba ya ndoto zenu na ndoto za miundimbinu+ taswira nzuri ya mipangilio ya miji.
 
Hv mleta mada mtu akishajenga ndo kamaliza?
Na je Kuna umri wa kujenga?
Bado hujajua unataka Nini kwenye maisha,
Mbona Mimi nimejenga na naishi nyumba ya kuopanga?
Jitahidi kutanua fikra zako!
Kama wewe unafikiri ukishajenga ndo umemaliza au kuishi kwako ndo mafanikio, wewe Bado sana!
 
Ni nan alokwambia miaka 30 ni baba zima? We mtoto fala kwel wacha ushoga
 
Tuwekee picha yake tumuone tumjadili vizuri.
 
Wabongo wana kausumba Fulani ka Kujenga mtu anafanya kazi Town ila unakuta amejenga Kisemvule huko na anahamia kabisa ata kuziba madirisha na Mifuko Nyumba haijakamilika, Anahangaika na daladala Wee ila sifa tu nipo kwangu, Nina jamaa fulani ali loan kama 50m bank akazika yote kwenye ujenzi sasa makato ya Kila mwezi na anachobakiwa nacho Hakiwezi ata Kuendesha familia, Yupo very desperate
 
Jenga we mzee acha ujinga umezeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…