Mmeanza tena kutufuatilia...Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga
Hasira za nini unanandika gazeti refu Jenga we mzee umeshazeekaπππWatu wanapanga kwa sababu pia za position...mimi ninanyumba 7 ila nimepangisha na ninayo ishi mwenyewe siyo yangu nalipa kodi kwa sababu ya position ya kazi ....usidhani waliopanga flemu kkoo na kilipa hadi milioni 2 kwa mwrzi awawezi kujenga flemu mitaani tatizo position...pia kujenga kuna mahesabu ya uchumi wa taifa kwa tanzania wengi ni masikini sana hata wakijenga wana jenga uchafu tu siyo nyumba haswa ni kuchezea cement bure ...tatizo ni serikali pumbavu ya ccm watu walitakiwa kujenga kwa kutumia app za simu tu na serikali kutoa motisha ukinunuatofari moja unapewa moja na serikali vyote vinafanyika kieletroniki kisha unapewa nyumba ...kwa sasa tz tunajenga slam
Jenga we mzee acha sababu za kitoto umeshazeeka ππππHaya mambo ya kila mtu kukimbilia kujenga ili kutaka kuonekana na una kwako, yamesababisha/ujenzi wa mabanda mengi sana ambayo sisi tunaita nyumba. Huu ndio ukweli mchungu. Ujenzi wa nyumba (mabanda) nyingi nchini upo chini wa viwango.
Kujenga si inategemea kamaHivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee
Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni wazee jengeni mtafia kwenye upangaji
Wewe haikuhusu mpk utoke kwa shemejiNa ambao tupo 30's na tunakaa kwa shemeji? Au haituhusu
Dadako akisafiri shem hakusumbui?Na ambao tupo 30's na tunakaa kwa shemeji? Au haituhusu
Ni ukweli......... hali duni ya uchumi imechangia ujenzi mabanda mengi sana. Ndio hivyo tena, tutafanyaje sasa? Hii ndio halai halisi. Tuayaondoe majizi kwenye mamlaka za maamuzi ili Watanzania wengi tunufaike na rasilimali zilizopo..........pia kujenga kuna mahesabu ya uchumi wa taifa kwa tanzania wengi ni masikini sana hata wakijenga wana jenga uchafu tu siyo nyumba haswa ni kuchezea cement bure ...tatizo ni serikali pumbavu ya ccm watu walitakiwa kujenga kwa kutumia app za simu tu na serikali kutoa motisha ukinunuatofari moja unapewa moja na serikali vyote vinafanyika kieletroniki kisha unapewa nyumba ...kwa sasa tz tunajenga slam
Acha upumbavu! Kwenye vitu serious wewe unaleta mizahaJenga we mzee acha sababu za kitoto umeshazeeka ππππ
Mpumbavu wewe ambae ujajenga na huo umri wako umezeeka unasubiri watoto wakujengeeAcha upumbavu! Kwenye vitu serious wewe unaleta mizaha
Wewe unaongelea kujenga tu wenzako tumesha pita hadi level ya kubomoa nyumba na kujenga upya wewe umefika hiyo level mimi nilisha bomoa nyumba zangu 2 na kujenga upya sijengagi nyumba za signboard zote ni zege chini juu ..kitanda chichongagi vile vya kuhalib7 mbao nachonga 6 kwa 7 ...kitanda chenye urefu wa 6 kwangu ni uchafu na uhalibifu wa mbao nashangaa watanzania bado mpo kwenye kasumba kuwa kitanda ni 6Γy...uchafuzi wa mbao ulio dhaili sasa unamkuta mtu ni tolu ila kitanda urefu ni 6 ππ©π©π©Hasira za nini unanandika gazeti refu Jenga we mzee umeshazeekaπππ
Asilimia 80% ya ujenzi wa nyumba binafsi ni uchafu mtupu slum...ni uchafuzi wa rasilimali.. watu wanajisifia kujenga wakati vitu walivyo jenga ni upuuzi unajengaje kwa tofari za kununua kisha unasema umejenga nyumba haswa ..tofari za kununua ni uchafu tukubali kwanza huu ukweli mfuko mmoja wanafyatua tofari hadi 65 hadi 70 huko tena wanavyaturia vibao vya mikono tofari linakuwa alija jishindilia vya kutoshaNi ukweli......... hali duni ya uchumi imechangia ujenzi mabanda mengi sana. Ndio hivyo tena, tutafanyaje sasa? Hii ndio halai halisi. Tuayaondoe majizi kwenye mamlaka za maamuzi ili Watanzania wengi tunufaike na rasilimali zilizopo..
Jenga acha ujinga umeshazeeka we mzee usijifariji ππππππAsilimia 80% ya ujenzi wa nyumba binafsi ni uchafu mtupu slum...ni uchafuzi wa rasilimali.. watu wanajisifia kujenga wakati vitu walivyo jenga ni uouuzi unajengaje kwa tofari za kununua kisha unasema umejenga nyumba haswa ..tofari za kununua ni uchafu tukubali kwanza huu ukweli mfuko mmoja wanafyatua tofari hadi 65 hadi 70 huko tena wanavyaturia vibao vya mikono tofari linakuwa alija jishindilia vya kutosha
Umechanganyikiwa wewe Jenga acha ujinga umezeekaWewe unaongelea kujenga tu wenzako tumesha pita hadi level ya kubomoa nyumba na kujenga upya wewe umefika hiyo level mimi nilisha bomoa nyumba zangu 2 na kujenga upya sijengagi nyumba za signboard zote ni zege chini juu ..kitanda chichongagi vile vya kuhalib7 mbao nachonga 6 kwa 7 ...kitanda chenye urefu wa 6 kwangu ni uchafu na uhalibifu wa mbao nashangaa watanzania bado mpo kwenye kasumba kuwa kitanda ni 6Γy...uchafuzi wa mbao ulio dhaili sasa unamkuta mtu ni tolu ila kitanda urefu ni 6 ππ©π©π©
Naona najibizana na mtu ambaye nimebaini ama uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo au ni miongoni mwao ambao akili zao zimekwenda halijojo.Mpumbavu wewe ambae ujajenga na huo umri wako umezeeka unasubiri watoto wakujengee
πΉπΉπΉNyumba yenyewe haina hata zege la nondo na nguzo za nondo ..juu pati anapiga kelele siku kimbunga au tetemeko likitokea inageuzwa magofu.