Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Wala sio wakishua, mpumbavu huyu, hawa ndo wale wanajenga Kisemvule wanafanya kazi Bunju, basi tu awe kajenga, Nyumba yenyewe paa fupi, joto, tabu tupu! Umaskini ni janga kubwa sana Tanzania, mwandishi ni maskini wa kutupa!
Nimecheka balaa...kweli JF ni burudani tele, muhimu tu usikose bando...😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Iko hivi , Mimi ni Mtumishi nimeanzia kazi Mbeya,huko nimejenga, Baada ya hapo nimepata uhamisho Kwenda Dodoma!Inanibidi nipange nyumba! Hapo vipi?
 
Usikute njemba imeshika remote kwa bwn shemeji. Usiku inasikia na kuvumilia dadayake anavyopigwa miti huku ikiziba masikio. Sshv imekaa sebuleni inasubiri wali maharage uive bektatu amtengee msosi huku inaangalia tamthiliya za kiharabu zilizotafsiriwa kiswahili. Pumbafu
 
Mzee Jenga umeshazeeka acha ujinga
 
😂😂😂😂😂
 
Q'RAN
Q'RAN tukufu inathibitisha MWENYENZI MUNGU akibaisha hivi "na tuliwamba MATAJIRI,lakini MATAJIRI hao watapata mihani wa kudharau,zinaa kufanya kila balaa,,na wengi wao watakuwa na mtihani baada,na tuliwamba masikini nao wengi wana mtihani wa CHUKI,KIJICHO NA ROHO ya HUSDA,,,Na tuliwaumba MAFAKIRI, nao wengi wao ni watu wapeponi kwani hawana lolote wawezao kufanya [ndio hao tunaona vipofu viziwi,vilema na hawa ndo hao tuwaona mbarabarani wakimbaomba]" sasa basi,,unaambiwa FAKIRI hana mtihani,ila yeye ndo mtihani kwa TAJIRI na MASIKINI,,,,kwani hawa watakuwa wa kuwadharau MAFAKIR na kutowasaidia,,,ispokuwa kwa wacahe wa',,,,,kwa ivo we jamaa acha dharau,,,kujenga ni majaaliwa!!
 
Any way, kuna jamaa alichelewa kujenga nyumba. Alijitafuta hadi kampuni yake ikawa first class. Ni kampuni ya ujenzi/ mkandarasi.

Mishahara yake aliwekeza katika kufungua kampuni na network ya kazi/tenda kipindi kaajiriwa. Aliacha ajira akiwa na 38 years na kuanza biashara yake hiyo ya ukandarasi akiishi gheto.

Kajenga nyumba yake ya kwanza Ununio, value yake ni 950million, inakaribia 1B akiwa na 48years mwaka 2019, ana full sets ya vifaa vya ujenzi, barabara za vumbi na rami. Concrete plant,
na asphalt plant.

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…