Hili nalo muende mkalitazame....Habari zenu,
Miaka ya nyuma tulizoea kuwa dagaa ni mboga ya watu wa hali ya chini lakini nimeshangaa sehemu ninayoishi kwa sasa nyama ndio imekuwa mboga watu wa hali ya chini tunaweza kuimudu.
Mfano huku kwetu 1kg ya nyama ya ng'ombe ni tsh 6,500/= wakati kilo ya dagaa ni tsh 10,000/=, samaki 11,000/=.
Imekuaje dagaa wamepanda bei ghafla?
Labda anazungumzia nyama ya dogi uheheniAcha uongo nyama wapi inauzwa 1 kg 6500/-
Basi Mada ingekuwa "Kwanini huku Tarime dagaa wanauzwa bei gali kuliko nyama?"Msidhani kila mtu anaishi Masaki kama nyie
Amesema ".......huku niliko......"Acha uongo nyama wapi inauzwa 1 kg 6500/-
Hizo ni nyama za ng'ombe za wizi za wairegi & walenyokaUnashangaa hiyo,juzi nilikua Tarime nikaona bucha wameandika kilo ya ya nyama ni 5,500/=
Inchi imefunguliwa, kazi iendeleeHabari zenu,