Hivi inakuaje dagaa wamekuwa ghali kuliko nyama?

Hivi inakuaje dagaa wamekuwa ghali kuliko nyama?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Habari zenu,

Miaka ya nyuma tulizoea kuwa dagaa ni mboga ya watu wa hali ya chini lakini nimeshangaa sehemu ninayoishi kwa sasa nyama ndio imekuwa mboga watu wa hali ya chini tunaweza kuimudu.

Mfano huku kwetu 1kg ya nyama ya ng'ombe ni tsh 6,500/= wakati kilo ya dagaa ni tsh 10,000/=, samaki 11,000/=.
Imekuaje dagaa wamepanda bei ghafla?
 
Hili nalo muende mkalitazame....
 
Huo Ndiyo Uchumi Wa Kati
Sababu Ya Vita Kila Kitu Kitapanda Bei
 
Acha uongo nyama wapi inauzwa 1 kg 6500/-
Amesema ".......huku niliko......"
Hivyo hutakiwi kumbishia. Labda ungemuuliza ni wapi huko.

Kimsingi hali ya bei ya vyakula ni tete! Hivyo serikali inatakiwa kuchukua hatua za kupunguza hili tatizo, badala ya kuendeleza ngonjera za "mfumuko bei kwa sasa uko kila sehemu" Sawa!

Kama serikali mnachukua hatua gani kuwapunguzia wananchi wenu ukali wa maisha? Au kazi kubwa ni kukusanya tu kodi na tozo, ili zikajengee hivyo vyumba vya madarasa miaka nenda?
 
asa utakula dagaa kilo kwa mara moja? nyma kilo utaweza kula mara moja kwa familia ya watu wanne ila dagaa kilo mtakula zaidi ya mara tano ambapo kwa hapa nilipo nyama ningekula tsh 45000.ila dagaa 10000 kwa mara tano...
 
Habari zenu,

Miaka ya nyuma tulizoea kuwa dagaa ni mboga ya watu wa hali ya chini lakini nimeshangaa sehemu ninayoishi kwa sasa nyama ndio imekuwa mboga watu wa hali ya chini tunaweza kuimudu.

Mfano huku kwetu 1kg ya nyama ya ng'ombe ni tsh 6,500/= wakati kilo ya dagaa ni tsh 10,000/=, samaki 11,000/=.
Imekuaje dagaa wamepanda bei ghafla?
Inchi imefunguliwa, kazi iendelee
 
Mkuu dagaa kilo ni elfu12 maharage kilo elfu 3200 ni mboga zetu zinazotulea Sasa ivi za moto
 
Back
Top Bottom