Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

Mentality ya kipuuzi, wapo wasomi wengi kwenye mataifa mengi hawajui kiingereza na maisha yao yako juu mno, sembuse Tanzania
Ukiona mtu anakikataa kiingereza kwa nguvu kubwa jua kinamsumbua!!!
Mtoa mada kasema kweli ,wewe unakuja na mifano ya kitoto !!! Sisi tumekisoma.na hatukijui
 
Kwa upande wako vp unakitema yai

100%

Ova
 
Sio kasumba hapa inaonesha elimu yetu INA tatizo!!! Haiwezekan MTU akae darasan miaka 16 anatumia lugha kisha hawezi kuiongea !!! Kubalini ukweli
 
Uhusiano upo mkubwa sana, hapa tz kiingereza ni lugha ya kusomea na kufundishiwa, swala la kutojua sio msomi kwa hapa kwetu ni sawa na lugha ya kiswahili tu, lakini ukweli inashangaza sana mtu afundishwe kwa lugha ya kiingereza kwa miaka zaidi ya 7 alafu hajui kukiongea wa kukiandika vizuri. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…