machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 920
- 2,071
Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
Hili jambo linasikitisha sana.Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee dawasa acheni michezo hiyo
Hakuna kulipa kodiWiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee dawasa acheni michezo hiyo
Inakera sana yaani dawasa imekuwa kama kichaka cha matapeli walio halalishwaHili jambo linasikitisha sana.
Mimi imebidi nizime mita maana nimeona nafanyiwa uhuni
Mawe hayauzwi ni bure sogelea ofisi zao kesho tukuone kwenye media ukiwa ushatoa tukio lako kutoa funzo kwa wengine wenye tabia km hizoWiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee dawasa acheni michezo hiyo
Nina wasiwasi wasomaji mita ni waleviHawasomi mita wanafanya kukadiria tu?
Mkuu maji yanauzwa Tena wanauza kwa unitsMawe hayauzwi ni bure sogelea ofisi zao kesho tukuone kwenye media ukiwa ushatoa tukio lako kutoa funzo kwa wengine wenye tabia km hizo
Tumekuwa makondoo haswa, inasikitisha sana.Wabongo tumezoea kupigwa,siyo kwenye mamlaka za maji tu.
Imagine mtu ukiunganishiwa umeme leo au ukibadilishiwa mita ya umeme leo ununuapo "LUKU" mara ya kwanza unakatwa kodi ya jengo ya toka July 2025!!
MAshaka yangu hao machawa ndo wanamgombanisha mama Yao na wananchi mana Hawamwambii ukweliMama wa ChoiceVariable amewafikia, mpigieni vigelegele angalau kwa kuwa hata na mabomba ya maji.
Tunabanangwa na hatuna cha kuwa fanya.Wabongo tumezoea kupigwa,siyo kwenye mamlaka za maji tu.
Imagine mtu ukiunganishiwa umeme leo au ukibadilishiwa mita ya umeme leo ununuapo "LUKU" mara ya kwanza unakatwa kodi ya jengo ya toka July 2025!!
Usiwasingizie walevi wakati kesi inaonekana kabisa inafanywa na watu wenye roho mbaya na wasiojali wengine bila kulewa walaNina wasiwasi wasomaji mita ni walevi
Imagine naenda kibaruani na jasho la Jana kisa maji hamna na bili inakuja kama ya mwezi ulo pita. Aisee Hawa watu wana roho mbayaUsiwasingizie walevi wakati kesi inaonekana kabisa inafanywa na watu wenye roho mbaya na wasiojali wengine bila kulewa wala
Inaumiza sana mkuuNa bill ni kubwa sana familia ndogo bill inaanzia 55,000 kama tuna car wash nyumbani😳
Bili ya kiwanda inapewa familiaNa bill ni kubwa sana familia ndogo bill inaanzia 55,000 kama tuna car wash nyumbani😳