Maajabu memgine ni pale maji yamefikishwa kwenye tank yanakuja kufunguliwa yanarudi tena mtoni kwa kisingizio yamekuwa mengi wakati huohuo watu hawapati wamefungiwa eti mgao siyo siku yao kupata maji, najiuliza hayo yanayorudi mtoni kwanini yasipelekwe kwenye line iliyopp kwenye mgao analai yakatumike na kuzungusha mita wapate tozo kuli kuyaacha yarudi bure mtoni?