Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
ChaiNimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini Mama akampa jamaa shikamoo
Ni haki zao za kikatiba na kibinadamu.Tamaa za mabinti wanajikuta wanawavulia nguo wanaume umri wa babu zao na baba zao
Hapo sasa serikali iingilie kati!, vitu kama hivi ndo vinasababisha maisha yanakuwa magumu!..😂
😀 😀😀Tz sihami
Niliiepuka hiyo kwa kuambiwa karibu kaka yangu. Japo mimi ni mzee ila nina kamwili fulani hivi kauongo. Ukizingatia siku hizi tunanyoa nywele zote kuficha Mvi na kiparaInasikitisha sana!
Kwahiyo na wewe msindikizaji ulisalimia shikamoo au ulisalimiwa?
Wanapaita kwa Abiola, sijui ni Buza ileTandika na Mwananyamala ni mambo ya kawaida sana
Eeh Shikamoo ya nini wakati wanakula tundra wote!Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini Mama akampa jamaa shikamoo
Maana mtoto hadi afike form four,baba tayari marehemu!Hapo sasa serikali iingilie kati!, vitu kama hivi ndo vinasababisha maisha yanakuwa magumu!..😂
Kama Daudi wa kwenye Biblia Alioa kabinti ili apate joto,sisi ni nani tuwakatae Mkuu!Siku hizi ukioa utajikuta umeoa mtoto wa age mate, class mate wako. Kali zaidi ni kuoa mke ambaye mama yake pia ni mdogo kiumri kwako. Sasa kama binti kakupenda utaanzaje kumkataa awe mke wako?
kuna jamii za wafugaji vijijini ni fasheni mzee kuoa binti ikiwa mke wake amezeeka na mikikimikiki ya kuchakatwa hawezi tena, mzee huoa kigori amsaidie bi mkubwa majukumu hayo pamoja na kumpa joto mzee. Binti hakatai ndio mila zao zilivyoKama Daudi wa kwenye Biblia Alioa kabinti ili apate joto,sisi ni nani tuwakatae Mkuu!