Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Kawaida sana
Hahahah...... Jamaa anaweza pita pia na mama mtuNimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini Mama akampa jamaa shikamoo
Hapo mama mkwe anajua akizingua tu kazi anayo kwenye kodi na mahitaji ya nyumbaniNimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini Mama akampa jamaa shikamoo