Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

Hahahah...... Jamaa anaweza pita pia na mama mtu
 
Mwanaume 56 Afu binti 24 🙌

Mm kuna demu niko nae nimemzidi miaka mitatu ila bado namuona ni mkubwa mno 😂
 
Hapo mama mkwe anajua akizingua tu kazi anayo kwenye kodi na mahitaji ya nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…