Hivi mate kumbe yanaliwa?Hamjambo watu wa Mungu?
Hapa nimeshtuka toka usingizini,nimelala na mwanamke X lkn nimeota niko namla mate mwanamke Y.
Hii imekaaje wakuu?
Hakika MUNGU yupoHamjambo watu wa Mungu?
Hapa nimeshtuka toka usingizini,nimelala na mwanamke X lkn nimeota niko namla mate mwanamke Y.
Hii imekaaje wakuu?
MamaeeeUshalogwa mkuu....
Mie kuna mmoja nilikia namuota maranyingi, kuja kugundua (niliambiwa na rafiki yake) kwamba alinipa chai ilio chujwa kwenye uvungu wa chup....
Huo muda ni kwa Dunia nzima au kwa Nchi uliyopo wewe?Hii ni saa sita dk 13 usiku
Daaaa
JF is never boring log😂Sababu umebeba mbegu za XY.
Siku ukilala na POPOBAWA ujue safari ya leba imewadia..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Utakuja kunyweshwa mikojo na wachawi ukidhani ni mate.!
Shauri yako.!
[emoji23][emoji23][emoji23]Sababu umebeba mbegu za XY.
Siku ukilala na POPOBAWA ujue safari ya leba imewadia..!!