Hivi inakuaje mwanaume umelala na mwanamke X lkn unaota unamla mate mwanamke Y?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Hamjambo watu wa Mungu?
Hapa nimeshtuka toka usingizini,nimelala na mwanamke X lkn nimeota niko namla mate mwanamke Y.
Hii imekaaje wakuu?
 
Ushalogwa mkuu....
Mie kuna mmoja nilikia namuota maranyingi, kuja kugundua (niliambiwa na rafiki yake) kwamba alinipa chai ilio chujwa kwenye uvungu wa chup....🫣
 
Sababu umebeba mbegu za XY.

Siku ukilala na POPOBAWA ujue safari ya leba imewadia..!!
 
Ushalogwa mkuu....
Mie kuna mmoja nilikia namuota maranyingi, kuja kugundua (niliambiwa na rafiki yake) kwamba alinipa chai ilio chujwa kwenye uvungu wa chup....🫣
Sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…