Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua.
Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda hii ni akili Gani aisee