Haya maisha haya!
1. Mtoa post kama MUNGU amekujalia kula vizuri, kulala vizuri na hauna matatzo, yakupasa usimsodoe huyu mzee
2. wewe hujafika miaka 65, na umesema kuwa upo chini ya nusu ya hiyo miaka.
-unayajua maisha yako hata utakapofika miaka 50?
3. kuna watu walikuwa na majumba, pesa na walihimili kila aina ya mahtaji, lakini maisha yasivyokuwa na adabu hawako kama walivyo leo na wanaishi kwa neema za MUNGU.
-roho ya kuishiwa ina tabia moja ya kijinga sana, huwa inakuletea mawazo haya, kwanza kila kukicha unajiona mdogo, pili kila kukicha huwa unajiona unaweza kufanya na kupata lolote, wakati huo hauna chochote na unakuwa na faraja kuwa ipo siku utatoboa.
"HUYO MZEE AKIKUIJIA KUKUOMBA CHOCHOTE MPE TU KAMA UNACHO, MAANA MWISHO WAKO HUUJUI"