Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Ndo huyu kumbe na Kuna sehemu kasema bila million kumi huoi mwanae 😂Shangaa na wewe kazi tu kutembea na wake za mabodaboda!🚮
Ndo huyu kumbe na Kuna sehemu kasema bila million kumi huoi mwanae 😂Shangaa na wewe kazi tu kutembea na wake za mabodaboda!🚮
Sawa kijanaMimi najua kucheza na shiling mishangazi haipendi helaaaaaaa 🤣
Hana hayo mavi!🚮Ndo huyu kumbe na Kuna sehemu kasema bila million kumi huoi mwanae 😂
Ila huyu Dogo na huyu mbibi wake wanazinguaga sana 🥲Sawa kijana View attachment 3559445
Si ndio mambo muyapendayo🤣Ila huyu Dogo na huyu mbibi wake wanazinguaga sana 🥲
Oya wewe mzushi pambana na mambo yako, haumjui huyo Mzee na story zenu za kuungaungaLeo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda hii ni akili Gani aisee
HahahaNdo huyu kumbe na Kuna sehemu kasema bila million kumi huoi mwanae 😂
Moto ya Mzee ilikuwaKuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua.
Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda hii ni akili Gani aisee
Kuwa uyaoneKuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua.
Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda hii ni akili Gani aisee
Huyo sio mshangazi ni mbibi 😅Si ndio mambo muyapendayo🤣
Sasa atafanyaje na ana shida ya pesa! Avumilie tu hakuna namna🤣Huyo sio mshangazi ni mbibi 😅
Hivi Hawa wanatumia jina Gani mitandaoni maana nazionaga video zao tu watu wanazipostSawa kijana View attachment 3559445
Hivi Wanatumia jina Gani Hawa huwa nawaona tu video zao watu wanapost,🤣🤣🤣Ila huyu Dogo na huyu mbibi wake wanazinguaga sana 🥲
Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua.