Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hivi ni vitu vya mtaaniWe naye kwa umbeaa🙌🏾
Kua uyaone ........Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda
MImi bado najitafuta na umri wangu bado unaniruhusu sijafiika hata nusu ya umri wakeKua u
Kua uyaone ........
Mpaka Sasa unanyumba ngap mjini🤔
Shangaa na wewe kazi tu kutembea na wake za mabodaboda!🚮Kua u
Kua uyaone ........
Mpaka Sasa unanyumba ngap mjini🤔
DuuuhShangaa na wewe kazi tu kutembea na wake za mabodaboda!🚮
Kwahiyo hii ndio fainali yake anaichezaKama unaishi kwenye nyumba ya vioo, tafadhari sana usimrushie jilani yalo mawe. Fainali uzeeni ndugu yangu...
AiseeMbususu, mbususu zilimchanganya ujanani akafikiri atakufa nazo 😎
Kumbe ndo huyu alisema anajua kupangilia kuvaa na kunukia eeeh 😳Shangaa na wewe kazi tu kutembea na wake za mabodaboda!🚮
Wewe usiyechanganywa na mbususu umejenga ngapi?Mbususu, mbususu zilimchanganya ujanani akafikiri atakufa nazo 😎
Ananukia tumuache🤣Kumbe ndo huyu alisema anajua kupangilia kuvaa na kunukia eeeh 😳
Ndo atuambie ananyumba ngap Sasa na usharobaro wake
Ndo maana nakuambia kua uyaoneMImi bado najitafuta na umri wangu bado unaniruhusu sijafiika hata nusu ya umri wake
Sasa hata nilikuambia ninazo 10 utakataaKumbe ndo huyu alisema anajua kupangilia kuvaa na kunukia eeeh 😳
Ndo atuambie ananyumba ngap Sasa na usharobaro wake
Kwakwel tumuacheAnanukia tumuache🤣
Mimi najua kucheza na shiling mishangazi haipendi helaaaaaaa 🤣Wewe usiyechanganywa na mbususu umejenga ngapi?