Hivi inakuaje mzee wa miaka 65 Hana hata chumba kimoja cha kukaa?

Oya wewe mzushi pambana na mambo yako, haumjui huyo Mzee na story zenu za kuungaunga
 
Moto ya Mzee ilikuwa
Ponda Mali, Kufa Kwaja!
Haya Maisha ni mafupi sana!

mara paap! maisha yamekuwa marefu!
 
Kuwa uyaone
 
Shida ya uzee unakujaga kasi sana, usipopiga hesabu freshi unaishia kiwa matonya uzeeni. 😁
Kasi ya kutoka 40-60 ni kugusa tuu!
Upo kazini unashangaa unaambiwa jiandae kustaafu huna hata pagara.

Jana nimetafakari sana, eti tayari ni miaka mitano toka Magufuli amekufa, ni kama juzi tuu.
 

Kwamba ni Mzee na yuko Nyumba ya kupanga, kodi inamshinda, na anatembea na kasichana cha miaka 18.
Anaomba omba hela ina maana hana shughul rasmi ya uhakika ya kumuingizia kipato.

Maisha haya yana maajabu yake,
Na Ni suala la kutafakar na kujifunza.

Ww una miaka 28 . Huna nyumba bado. Ila Unaweza ukawa na nyumba , mke , watoto na magar biashara na mali ukiwa bado kijana. Ila kabla hujafika miaka hiyo ukapata majanga na ukarud hatua nying nyuma alaf ukifika miaka hiyo 60's ukawa kama huyo mzee.

Tuombe sana Mungu.
Tuombe atuongoze kwenye njia iliyonjema. Atuepushie kila aina ya majanga. Aibu fedheha na karaha za dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…