Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
MImi bado najitafuta na umri wangu bado unaniruhusu sijafiika hata nusu ya umri wake
Maisha huwa hayaitaji ujuaji kabisaa!!Kwamba ni Mzee na yuko Nyumba ya kupanga, kodi inamshinda, na anatembea na kasichana cha miaka 18.
Anaomba omba hela ina maana hana shughul rasmi ya uhakika ya kumuingizia kipato.
Maisha haya yana maajabu yake,
Na Ni suala la kutafakar na kujifunza.
Ww una miaka 28 . Huna nyumba bado. Ila Unaweza ukawa na nyumba , mke , watoto na magar biashara na mali ukiwa bado kijana. Ila kabla hujafika miaka hiyo ukapata majanga na ukarud hatua nying nyuma alaf ukifika miaka hiyo 60's ukawa kama huyo mzee.
Tuombe sana Mungu.
Tuombe atuongoze kwenye njia iliyonjema. Atuepushie kila aina ya majanga. Aibu fedheha na karaha za dunia hii.
Hasira za nini mbona. Unapayuka hovyo unauhakika Sina kiwanja au umepagawa na ugumu wa maishaUjenge hata moja kisha ndio uje uulize.
Unachofanya ni kutukana mamba na hujavuka mtoto.
Kama ingekuwa rahisi ungeshakuwa umejenga. Ili ujiulize Jambo rahisi kama hili linawashindaje watu? Lakini wewe mwenyewe huna nyumba, sio ajabu hata kiwanja, sio ajabu hata pori huna alafu unauliza maswali ya ajabuajabu
Hasira za nini mbona. Unapayuka hovyo unauhakika Sina kiwanja
Fanya kazi upate hela Ili usiwe na hasira hasira ugumu wa maisha unakusumbuaHuna ndio. Ungekuwa nacho usingeshangaa mzee wa miaka 50+ kutokuwa na nyumba badala ya kujishangaa wewe mpaka sasa hauna nyumba
Kweli Shemela.Maisha huwa hayaitaji ujuaji kabisaa!!
Fanya kazi upate hela Ili usiwe na hasira hasira
Fanya kazi Ili uingize mtonyo uepuke kuwa na hasira ovyo yaani umepagawa na ugumu wa maisha mpaka unapayuka hovyo Mimi sijakusababishia huo umaskini pole sana na umri naona umeenda basi unahasira 🤣🤣🤣🤣Sawa.
Wewe endless kushangaa watu badala ya kujishangaa mwenyewe.
Unashangaa mtu kukosa kitu ambacho hata wewe hauna.
Zinachaji kweli? Logical inakuingia akilini?
Fanya kazi Ili uingize mtonyo uepuke kuwa na hasira ovyo yaani umepagawa na ugumu wa maisha mpaka unapayuka hovyo Mimi sijakusababishia huo ugumu wa maisha 🤣🤣🤣🤣
Msaidie mkuu kumpa hela na kumgogea hicho kitoto maana uko vizuri hiyo sectorKuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua.
Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda hii ni akili Gani aisee
Umaskini ulionao Mimi sijakusababishia unanichukia bure fanya kazi acha kuandika andika pumbavu humu umri umeenda ndio maana unahasira kama vipi jiue tu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Umemsababishia huyo Mzee wako ama?
Umezoea kijijini kwenu Kila MTU ananyumba sio? Karibu mjini Dogo
Hahaha mkuu halafu nawazaga mwanae akijua huu mchezo basi hicho kidemu kitachezea vitasa maana jamaa ni msela mavi sanaMsaidie mkuu kumpa hela na kumgogea hicho kitoto maana uko vizuri hiyo sector
Hahaha na Sasa hivi tupo nae hapa kijiweni kaja anatukanana na vijana aisee huyu mzee kazi ipoTena watu kama hao wakikutana na vijana kazi yao kusema miaka yetu kulikuwa na hela sana.
Ukikaa unamuangalia halafu unajisemea hivi hicho ni cha kujisifia kweli huku hata kichumba hana.
Karma is bitch! Sijui watu wanapata wapi guts za kutukana mamba..Kweli Shemela.
Kila mtu achange karata zake vizur.
Na maisha ni kwenda nayo kwa tahadhari mno.
You never know what will happen tomorrow.
Kuna Dada angu mmoja akiwa Sekondar alikuwa anamcheka sana shangaz yetu mmoja wa Moshi huko. kuwa hana mtoto. Amemteta sana shangazi miaka ile.
Ajabu ni kuwa sasahivi Dada yuko kwenye early 40's ameolewa ile ya sogea nikae na hana mtoto pia.
Karma Gani wewe uchezee ujana wako hovyo baadae utishie watu karma kama unadhani ukitishia kuwapa laana watoto kisa kukuambia ukweli umefeli mzee ukweli utaambiwa tu utake usitakeKarma is bitch! Sijui watu wanapata wapi guts za kutukana mamba..
Wewe ambaye unatia wake za watu hovyo na kujisifia mitandaoni ndio unajiona uko perfect sana? Ungekuwa na la maana sana ungekuwa na akili za kuanzishia wazee nyuzi za kishenzi hizi? Unatembea kwa miguu unajiona umemaliza maisha? Elon kajenga? Hujielewi wewe niquote tena nikukaange!!Karma Gani wewe uchezee ujana wako hovyo baadae utishie watu karma kama unadhani ukitishia kuwapa maana watoto kisa kukuambia ukweli umefeli mzee ukweli utaambiwa tu utake usitake