MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
kama umejaliwa kuwa na kipato msaidie walau umlipie kodi ya nyumba, usimpe hela mkononi Mungu atakubariki, Chunga sana mdomo wako mdomo huliponza kichwa maisha ni fumbo...Kiburi si uungwana...Pambana sana na maisha yako wewe kama wewe usiangalie maisha ya mwingine penye msaada saidia kama unacho...Najua sahv umejipata ndo maana umeamua kuwasemea watu wa namna hyo na huwenda hata huyo mzee hayupo umeamua kulusha jiwe gizani jirekebishe.Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua.
Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda hii ni akili Gani aisee
Mwingine kutwa kusema kwana amesoma na mkuu wa mkoa, mara hiki mara kileTena watu kama hao wakikutana na vijana kazi yao kusema miaka yetu kulikuwa na hela sana.
Ukikaa unamuangalia halafu unajisemea hivi hicho ni cha kujisifia kweli huku hata kichumba hana.
NimechekaWe naye kwa umbeaa🙌🏾
Kabla hujafa hujaumbikaKuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila alikua ni mtu wa mademu hata kiwanja kikamshinda kununua.
Leo kaja nimemuangalia nikamtafakari Cha ajabu ana mtoto wake naye anajitafuta ila akimtumia pesa anaenda kuhonga kitoto kimoja Cha hapa mtaani kina miaka 18 yaani ndio kinamamalizia hela ni aibu sana umri huu hata chumba kimoja kimemshinda hii ni akili Gani aisee
Hii sio page Yao bhanaNaona vitu vyako vimekuchanganya kijana!View attachment 3559492
Ndio maana yake hiyo…Kwahiyo hii ndio fainali yake anaicheza
Ujana maji ya moto.
Hahahaaa. Umenifanya nimecheka Mkuu na ndo zao hizoMwingine kutwa kusema kwana amesoma na mkuu wa mkoa, mara hiki mara kile
Inakera sana aiseeee
Sija mlaumu nimeona wazee wanahangaika kisa mambo ya kifamilia na INADAIWA walikua na kila kitu kwenye haya maisha, ACHA TU, maisha hayaKijana wangu apa duniani kuna mambo mengi sana na unavyozidi kukua ndio utagundua kua unapaswa kumlaumu au kumuonea hurua