Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Apr 13, 2026 #1 Muungano wa ajabu nchi hii.Yani kesi ya mwanadada mmoja wanatangaza ni tanzania ina maana tanzania ni znz.
Muungano wa ajabu nchi hii.Yani kesi ya mwanadada mmoja wanatangaza ni tanzania ina maana tanzania ni znz.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Apr 13, 2026 #2 Mungano wa tanganyika na zanz. Sema hiyo issue imeniumiza sana naona wasafi hapa wanaitangaza!
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 14,421 Reaction score 30,962 Apr 13, 2026 #3 Hela za Samuya. Deni la taifa.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Apr 13, 2026 #4 Nchi ya hovyo hii
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 13, 2026 #5 Mwalimu Nyerere alifanya kosa kubwa sana kutuunganisha kwenye muungano wa hovyo na hawa watu wasio na visogo.
Mwalimu Nyerere alifanya kosa kubwa sana kutuunganisha kwenye muungano wa hovyo na hawa watu wasio na visogo.
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,552 Reaction score 13,002 Apr 13, 2026 #6 Fbn said: Muungano wa ajabu nchi hii.Yani kesi ya mwanadada mmoja wanatangaza ni tanzania ina maana tanzania ni znz. Click to expand... Nipo zangu mpilimbi huku, kesi gani iyo bandugu
Fbn said: Muungano wa ajabu nchi hii.Yani kesi ya mwanadada mmoja wanatangaza ni tanzania ina maana tanzania ni znz. Click to expand... Nipo zangu mpilimbi huku, kesi gani iyo bandugu