Hivi inakuwaje kesi ambayo mpaka sasa inasema ni TZ wakati Zanzibar kuna raisi

Mungano wa tanganyika na zanz.

Sema hiyo issue imeniumiza sana naona wasafi hapa wanaitangaza!
 
Mwalimu Nyerere alifanya kosa kubwa sana kutuunganisha kwenye muungano wa hovyo na hawa watu wasio na visogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…