Thaconfession
JF-Expert Member
- Jun 16, 2021
- 301
- 590
Kuwa na kifua na koromeoHuu ni ujumbe amenifowadia rafiki yangu wa karibu sana,kwamba amemnunulia zawadi mtoto wake baada ya kufanya vizuri shuleni,(aliahidi kumnunulia zawadi nono endapo atashika nafasi ya kwanza
Fafanua...maana hivyo vyote ninavyoKuwa na kifua na koromeo
Huna Siri mambo ya mwenzako ya familia yake kakutumia kwa utashi wake wew una yaanika huku ya Nini? Kama Yuko humu unadhani anakuchukuliaje?Fafanua...maana hivyo vyote ninavyo
Anamaanisha acha umbea wewe na rafikia ako ya ndani ni ya ndaniFafanua...maana hivyo vyote ninavyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna Siri mambo ya mwenzako ya familia yake kakutumia kwa utashi wake wew una yaanika huku ya Nini??? Kama Yuko humu unadhani anakuchukuliaje????
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa, sasa kama mwenyewe amenifowadia text na kuniuliza sababu, mimi nashindwaje kuwauliza nguli wa Mambo ya ndoa na mahusiano waliopo humu?Anamaanisha acha umbea wewe na rafikia ako ya ndani ni ya ndani
Atajua nimechukulia jambo lake serious kiasi cha kuomba raia wengine watusaidie kulipatia ufumbuziHuna Siri mambo ya mwenzako ya familia yake kakutumia kwa utashi wake wew una yaanika huku ya Nini??? Kama Yuko humu unadhani anakuchukuliaje????
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Jambo dogo kama Hilo kulileta humu linapima uwezo wako mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo na hata huyo jamaaa yako nae hamnazo ishu ndogo TU ya kukaa na huyo mwana mama na kutoa kauli na matamko ya kiutuzima kashindwa.Atajua nimechukulia jambo lake serious kiasi cha kuomba raia wengine watusaidie kulipatia ufumbuzi
Unaona Sasa ulivyo na akili finyu,humu kila siku mnajaza nyuzi kwa Mambo ya "kula kimaskhara" kufumania na mengine mengi, if you find it useless unapita kimya kimya, we don't take things too serious hiini sehemu ya kujifunza, kufurahisha na hata kushea mazuri na mabaya lakini ukianza kujifanya veeeeeeery serious in everything mzee utakufa mapema, mambo ya "uwezo mdogo wa kufikiri, jamaa yako hamnazo" yanatoka wapi?Jambo dogo kama Hilo kulileta humu linapima uwezo wako mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo na hata huyo jamaaa yako nae hamnazo ishu ndogo TU ya kukaa na huyo mwana mama na kutoa kauli na matamko ya kiutuzima kashindwa.kakuomba ushauri wewe na wewe ulivyo hopeless ukalileta humu Ni aibu Sana kwa uoni wangu wa mbali Ni wewe mwenyewe sema unatumia fursa ya jamaaa yako kutka ushauri
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Nakuelekeza kijana acha kutoa Siri za watu kwa ushahid kabisaaaa ungekuja kwa njia nyingne kabisa kuwasilisha hoja yakoUnaona Sasa ulivyo na akili finyu,humu kila siku mnajaza nyuzi kwa Mambo ya "kula kimaskhara" kufumania na mengine mengi, if you find it useless unapita kimya kimya, we don't take things too serious hiini sehemu ya kujifunza, kufurahisha na hata kushea mazuri na mabaya lakini ukianza kujifanya veeeeeeery serious in everything mzee utakufa mapema, mambo ya "uwezo mdogo wa kufikiri, jamaa yako hamnazo" yanatoka wapi?
Kama wewe una akili nyingi unakomenti nini sasa uzi wa wenye akili ndogo? Huoni hapo na wewe unakuwa na akili ndogo kuliko wenye Uzi?
Mpuuzi mkomavu kabisaa,kakojoe ulale!
NI umbeya wako tu brother,mwenye issue yake anasoma comment tu hapa Hana hata problem yaaniNakuelekeza kijana acha kutoa Siri za watu kwa ushahid kabisaaaa ungekuja kwa njia nyingne kabisa kuwasilisha hoja yako
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Nishakuelewa mhusika mkuu pambana na mwanamke wakoNI umbeya wako tu brother,mwenye issue yake anasoma comment tu hapa Hana hata problem yaani
Watu wengi mnaotumia Tecno B1 mna matatizo sana, mnajifanya wastaarabu sijui wajuaji kumbe hamna kitu...[emoji23][emoji23][emoji23]Nishakuelewa mhusika mkuu pambana na mwanamke wako
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Sanaaa, hata mimi nimemwambia hivyo hivyo!palipo na uwezekano wa kumpatia Mke wake zawadi ajitajidi.....sio mbaya akawa hata ananunua brouse tu....
67% ya WANAWAKE Ni wachawiHuu ni ujumbe amenifowadia rafiki yangu wa karibu sana,kwamba amemnunulia zawadi mtoto wake baada ya kufanya vizuri shuleni,(aliahidi kumnunulia zawadi nono endapo atashika nafasi ya kwanza kwenye mitihani yake), dogo kweli amepasua paper vizuri sana,baba Yale akatekeleza ahadi yake kwa mtoto.
Baada ya baba kuondoka, mama ameanza kumtumia texts baba mtoto kwamba anamjali mtoto tu, Wala hamjali mama yake (akimaanisha kwanini amemnunulia zawadi mtoto pekee na yeye hajapata zawadi)
Hii imenifanya nifikirie sana, ina maana mama mtoto anamuonea wivu mwanaye?
Hii inasabababishwa na nini?View attachment 1847414
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]67% ya WANAWAKE Ni wachawi
Mapenzi hayana unguli yalimshinda Adamu mwanadamu wa kwanza tutayaweza sie.Hahahaaa, sasa kama mwenyewe amenifowadia text na kuniuliza sababu, mimi nashindwaje kuwauliza nguli wa Mambo ya ndoa na mahusiano waliopo humu?