Jamaa anamdharau sana mke wake. Anapotezea maombi yake. Na huenda ametoka kumwomba kitu si siku nyingi na jamaa akadai hana hela. Inapotokea anatoa zawadi kwa mtoto huku mama aliomba mahitaji siku nyingi bila kutimiziwa ni ishara ya dharau kubwa. Mke anajiona kama ni kifaa cha kufyatua watoto tu, hivyo anaumia. Ni dhahiri hamwonei wivu mwanae lakini baba mtoto ameonyesha dharau za wazi.
Huyo jamaa aache ushamba. Anataka atetewe kwa ushamba na ujinga wake.
Pendezesha mama na mwanae siyo umpotezee mama halafu uje huku ili tukuone una point.
Aache ushamba.
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app