Hivi inakuwaje mama anamuonea wivu mtoto wake?

Rafiki yako itakuwa anamdharau mkewe. Mwambie aache ushamba.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Piga yeye na upande wa kitenge mkuu...wacha wasi wasi.
 
Jamaa anamdharau sana mke wake. Anapotezea maombi yake. Na huenda ametoka kumwomba kitu si siku nyingi na jamaa akadai hana hela. Inapotokea anatoa zawadi kwa mtoto huku mama aliomba mahitaji siku nyingi bila kutimiziwa ni ishara ya dharau kubwa. Mke anajiona kama ni kifaa cha kufyatua watoto tu, hivyo anaumia. Ni dhahiri hamwonei wivu mwanae lakini baba mtoto ameonyesha dharau za wazi.

Huyo jamaa aache ushamba. Anataka atetewe kwa ushamba na ujinga wake.
Pendezesha mama na mwanae siyo umpotezee mama halafu uje huku ili tukuone una point.

Aache ushamba.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sa kwanini hamnunuuliagi mkewe zawadi?
 
umeoa?
 
Yawezekana kuwa mama hajawahi kupewa zawadi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Raha ya kuwa mke udekezwe sometimes,baba atapambana na hali yake!
 
Km kulea watoto unataka zawadi ntakupa zawadi mpka lini? Ikumbukwe zawadi ni kwa kupewa baada ya kufanya kitu special.. sasa hujafanya kitu zawadi ya nn? Kulea wote tunalea it aint special its appreciated since day one. Shida enu mnakuaga entittled sana you thinking you deserve better while nothing special you have done.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Wanawake hufikria kwa kuona karibu na vile vinavyo mzunguka lakini angewaza kama ulivyoona wewe angesema moyoni mwake hiyo si kaz yangu ila ni wajibu wake.
Naona wachangiaji wengine povu jingi! Na hii ndio tofauti ya kizazi na kizazi. Tuendelee kufarijiana pia ushaur kwa haya mambo madogo.
 
Hamuonei wivu ni kawaida kwa wanawake kupenda zawadi
 
Mama ndio mwalimu wa shule? Kwamba apewe zawadi na yeye? Wtf bro

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 

Anaweza kuwa ni yeye au rafiki yake, ila kumbuka ndege wafananao huruka pamoja.

Rafiki yake jambo dogo kama hilo kashindwa kulimaliza, kampa rafiki yake kuomba ushauri nae hawezi akaamua kulimwaga jukwaani.
 
Ingia kwenye ndoa uone hiyo tofaut kati ya hao unao date nao na mama mwenye mtoto nyumbani.
Wakati ww unafikria kuhusu kesho ya wanafamilia yako utoke kwenye kupanga, watoto wasome vizur na .....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…