Hivi inakuwaje mama anamuonea wivu mtoto wake?

Asante mkuu, ujumbe utamfikia
 
Unajua ahadi kwa mtoto? Umeongea kama ni jana tu hiyo ahadi imetolewa na ikatekelezeka,wakati huyo mtoto kaipambania hasa na ilimkaa kichwani
 
Unajua ahadi kwa mtoto?
Umeongea kama ni jana tu hiyo ahadi imetolewa na ikatekelezeka,wakati huyo mtoto kaipambania hasa na ilimkaa kichwani
Nina mke na watoto.
Kamwe mama hawezi mwonea wivu mtoto kama unamjali. Huyo jamaa anamdharau mke wake. Na kama angemheshimu asingetsngaza hayo yaliyotokea. Anataka tumwone yeye ni smart na mkewe tumwone mjinga.
No! Mwanaume ndiye mpumbavu.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mama bado ni "mtoto"!Ampe mimba ingine!😝😝😝😝😝
 
Zawadi is a symbol off appreciation.

Na inazidisha mapenzi. Kama unadhani mke wako hahitaji kuonyeshwa mapenzi ni wewe tu.

Nothing special? Next time you pump your seed into her, accompany her into the labour room and wait until the baby is here.

Then come back and review your comment.
 
Hii "mpuuzi mkomavu" ndo imenifanya nijaribu hii comment.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Watu mna matusi mapyaaaaa
 
Ndo kinachofata.

Zawadi ya mke wako ikutoe roho?
You know both are parents? Hivi ushawah sikia meanaume anadai kuwa appreciated kwa anayoyafanya katika familia? We dont cause we know its responsibility!

You are responsible too sema mmejaa entitlement tu[emoji28][emoji28]

Mi zawadi natoa after kitu flan kimefanyika.. hayo ya kulea they are appreciated kila siku yaani navyoleta vyakula home na kuhakikisha hamlali njaa thats appreciation too!

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
you are so wrong.

Appreciation is totally different from obligations.

Ama ndugu yetu ulilazimishwa kuoa na kuanzisha familia?
 
you are so wrong.

Appreciation is totally different from obligations.

Ama ndugu yetu ulilazimishwa kuoa na kuanzisha familia?
My friend Mimi nadhani baadhi ya Mambo ni wajibu wa kawaida kabisa,unawezaje kutafuta appreciation kwenye mambo ambayo ni wajibu wa lazima?

Yaani baba aanze kujipongeza na kutafuta appreciation kwa kuleta mboga nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…