mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
kwani kuna mtu alishawahi kukosea mahesabu au kuzidisha pesa kwa kutojua mnyama aliyepo kwenye noti ya elfu 10?Kwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
HAWA NDIYO WE---KUNDU WA MSIMBAZIIla nae alietunga maswali dah. Okay, ndio Tanzania.
Mimi imebidi nigoogle maana nilidhania Simba (ndio maana jina wekundu wa msimbazi).
View attachment 1719435View attachment 1719436View attachment 1719437
Mkuu umenifanya nicheke maana YEHODAYA sasa hivi atakwambia huna degree🤓🤓Ila nae alietunga maswali dah. Okay, ndio Tanzania.
Mimi imebidi nigoogle maana nilidhania Simba (ndio maana jina wekundu wa msimbazi).
View attachment 1719435View attachment 1719436View attachment 1719437
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila nae alietunga maswali dah. Okay, ndio Tanzania.
Mimi imebidi nigoogle maana nilidhania Simba (ndio maana jina wekundu wa msimbazi).
View attachment 1719435View attachment 1719436View attachment 1719437
Bahati uko mbali maana hata nilikuuliza unaweza google au kutafuta references. Hata wewe unaweza ukaulizwa swali la kijinga kama hilo ukibananishwa na ukashindwa kujibu.Consultant aliyetoa hilo swali tulimbeza kuwa haliwezi saidia chuja waomba kazi lakini akasema take from me hilo swali litawabwaga, baada ya mjadala mrefu tukakubali libebe asilimia 70 baada ya ku conconvince. Na kweli consultant ka prove kuwa yuko right, Candidates 75 walioomba hakuna aliyepita kwa swali dogo tu hilo.
Sijaona mantiki ya hilo swali. Kwenye mambo ya fedha kuna mengi sana sio huo upuuzi wa kuulizana kwenye noti kuna mnyama gani. I believe interview haitapata right person. Wataalam wa interviews zenye kugundua weledi na ujuzi kama say pricewater coopers hawawezi kuuliza huo ujinga.Aisee imeniuma walikuja wamelamba masuti na mitai shingoni, viatu vinang'aa sikuamini kwao kushindwa kujibu swali dogo kama hilo. Kuna tatizo sio kwenye elimu yetu lakini nadhani wasomi wetu wanakariri tu masomo na hawajui hasa wanasoma nini? Nimepata shock serious .Sijawahi maisha yangu yote kuwa shocked kiasi hiki.
Sioni chochote cha kulaumu hapo. Hata leo ukiambiwa uchore bendera ya Taifa kwa kushtukiza, upangilie kama zilivyo, utachemka. Na kadri unavyosoma zaidi, mambo ya zamani ni rahisi kusahau.Kwa hali niliyoona nadhani tatizo la ajira linasingiziwa wasomi wetu wakipigwa simple questions tu wako weupe vichwani hata swali dogo tu kama hilo ambalo lina match na fani zao kabisa.
Yaaani Huyu HR...hajui Majukumu ya Finance Manager?... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yani kundi la watu (na wewe ukiwemo) mnakubaliana kuuliza picha iliyopo kwenye noti ili kupima ubora wa FINANCE MANAGER..!!!?[emoji1745][emoji134]
Hayo Ni maamuzi yako..Hata ukiamua akae TU nyumbani ...pia Ni sawaLeo nimemkuta binti kwenye daladala anajisomea.
Nikachungulia nikaona
Types of listening
Importance of listening.
Nikasema kama University kwenyewe wanafundisha upumbavu huu ni heri mwanangu P aishie form four nimpe mtaji akalime parachichi za kisasa.
Mkuuu...hatusomi Noti za nchi mbali mbali kwenye uhasibu....plse..Juyo kukosea ruksa sababu ni Mwanasayansi sio mwana historia angekuwa kasomea historia akakosea hapo sawa sababu ingekuwa ni area yake. Kwenye area yake ya sayansi yuko vizuri ndio maana aligundua hadi mapapai kuwa yana corona
Tatizo mtu kwa nmomi ambaye kasoma mambo ya pesa halafu haijui pesa !!! ni jambo la kushangaza. Hajui hata noti ya elfu 10 ina mnyama gani halafu anaomba kazi ya pesa!!!